hakyamungu ningekuwa mie angekula ya kichwa, tusiruhusu kujaribu ustaimilivu wa askari wetu.Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
njoo kwa Yesu uokoke, uzijue kweli za rohoni, uache tabia za ULEVI na kuyatetea madhalimu ya hii nchi.Very cheap argument. Katafute Biblia ya Kiebrania uangalie. Neno "divai" limeandikwa mara 18 kwa muktadha tofauti. Kaangalie neno "divai" lililotumika kwenye Harusi ya Kana halafu ulete tafsiri yake.
Sio wapole ni wabovu. Mtu muovu hawezi kumuwajibisha mtu.Polisi wetu ni wapole sana ndio maana akina Heche wanajisahau na kuwatukana. Mimi niwe OCD aniseme hivyo? Iiiiiiiiiiiiiii!!!!!
Nimeipenda hii punch line sasa OCD kachanganywa na mkewe wote wamepewa kisago cha manenoNatamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya
no ni professional askari haupaswi kupandwa ns munkhari unaposhambuliwa kwa manenoSio wapole ni wabovu. Mtu muovu hawezi kumuwajibisha mtu.
Sasa hivi wameenda kumficha au sio?Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
Viongozi wa serikali ni wavumilivuMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
OCD wa Mkoa husika sio OCD wa Tanzania huyo hayupoIla mambo ya hovyo sana.
Imagine mtu anafunga barabara kwa maagizo ya CCM anasahau kuwa yeye ni OCD wa Watanzania.
Nilikuwa namaanisha ni wabovu mkuu. Nimekuelewa pia.no ni professional askari haupaswi kupandwa ns munkhari unaposhambuliwa kwa maneno
Ila mamaako anayokujaGA na mchepuko wake! Muulize anaijua uzuri!Mhudumu wa hoteli gani dada!!?
Wavumilivu ila mwisho wanaamrisha utekwe na usirudi tena uraianiViongozi wa serikali ni wavumilivu
Umeitoa wapi?heche na ocd
Umeifanyia homework ile tafsiri ya Kiebrania au inaleta longolongo tu?njoo kwa Yesu uokoke, uzijue kweli za rohoni, uache tabia za ULEVI na kuyatetea madhalimu ya hii nchi.
OCD mandatory yake si mkoa ni wilaya.OCD wa Mkoa husika sio OCD wa Tanzania huyo hayupo
Ayo ni kawaida katika siasa how many times Donald Trump have called Biden stupid president ? Tatzo lipo anaongea hivo katika nchi ganKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Kwenye siasa maneno ya kejeli vijembe matusi uongo uzushi yote ni sawa bro ni lipi taifa mama wa demokrasia ulimwenguni ni america right? Trump alikua anatumia maneno gan kumuita Biden? Kizee rais mpumbavu mgonjwa mhuni. Elimu yko ya kukarir mambo iache kwenu katavi sasa upo mjin broHata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
Bahati nzuri mamangu yupo Mbinguni miaka 30 iliyopita.Ila mamaako anayokujaGA na mchepuko wake! Muulize anaijua uzuri!