PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanaona bora wangemkamata Heche siyo Lissu,sasa apo wakimkamata na Heche Wawe tayari kukutana na Lema na Mnyika.
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, walikuwepo madikiteta hatari akina Magu, mabutu, Bokasa, Chiluba, iddy Amin Dada, Elibashiri, Sadam Hussein, makaburu wa Africa kusini leo hii wapo wapi? Mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!


Mashetani yanayoteka na kuua watu, lazima yaambiwe kwa lugha kali, kwa sababu hayastahili heshima kutoka kwa binadamu yeyote mwenye ukamilifu.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"

Tumshkuru mheshiiwa rais daktari profesa SSH kwa yote japo yanatia kinyaa.
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Kuna kosa gani katika matamshi yake? Elewa chadema kwa sasa ni ya wananchi.
Why mfungia mtu njia ,na je isingefungwa haya yangesemwa ,so mwenye kosa ni Heche au walikua wanamzuia na kwa sababu zipi.

Tuache ushabiki wa kishamba , kuna mambo ndugu zetu police wanafanya ama kwa maelekezo au la yanatia haibu
 
Mikwara kibao kwenye Microphone usiku ukiskia kijiko kimeanguka unakimbilia kupost twitter kuwa kuna watu wanakufatilia.
Shida ipo wapi , ndo maana unawapeleka wanao shule ,kwa nini usiwafundishe mwenyewe nyumbani kwako? Hizi idara zipo sio kwa bahati mbaya bali ni mgawanyo katika Taifa
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"

Sasa kwa nini azuiliwe kuingia mjini? Kuna vitu vinafanyika sio kabisa. Vinasababisha hadi mtu kusema hivyo
 
Ile divai ya Bwana Yesu ya pale Kana ilikuwa divai njema. YESU hawezi tengeneza kilevi kisha akataze ULEVI. Kuna divai isiyochachwa kama vile Ile mikate ya pasaka isiyochachwa. So don't try to deceive yourself !
Very cheap argument. Katafute Biblia ya Kiebrania uangalie. Neno "divai" limeandikwa mara 18 kwa muktadha tofauti. Kaangalie neno "divai" lililotumika kwenye Harusi ya Kana halafu ulete tafsiri yake.
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Kwa hiyo huyo OCD na mwenzie KIHONGOSI wana haki ya kuzuia baadhi ya Watanzania kuingia huko mjini kwao kisa ni wa chama tofauti na wao?!
 
Back
Top Bottom