PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.

"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"

Hiyo ndiyo SAWASAWA...

Kukemea kabisa matendo ya kijinga na kipumbavu ya watawala..

Utazuiaje njia watu wasipite..??
 
Hata mimi nadhani hata wewe unaweza ukatoa huenda zaidi ya hayo kwa jinsi chadema wanavyo umizwa kumbuka Kila mtu ni kichaa na ukichaa humfika akichukia, (hasira)

It reach a point of no return
Upo sahihi lakini ukiwa kwenye mapambano lazima uchunge namna ya kutoka msituni.
Kuna wakati wanategesha bomu ili ujitokeze wajue upo uelekeo gani wakutwange vizuri.
Sasa kwa majibu haya adui anapata point ya kukuchokozea ili ulimi uwe mwepesi zaidi kisha wakunange kwa wananchi
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Hayo kaongee na waume zenu
 
Kuna mda ukiona mambo hayaendi sawa inatakiwa utoe matusi makali tena zaidi ya hayo kuona umechukia as long hujavunja sheria iko namna OCD alizingua heche so mwehu
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Ukute hata huyo ocd alítoa lugha mbaya kwa heche.wakati mwingine hawa wateule wa mama wanajiona wako juu ya sheria.
 
eti huyo ni kiongozi wa watu, sijua kama ana watoto wana hulka na tabia gani? :pedroP:
Lakini huhoji inakuwaje Mkuu wa Mkoa anaagiza Polisi wazuie njia za kuingia mjini kwa msafara wa John Heche...!

Lakini huhoji ni Kwa sheria gani RC anafanya hivyo huku Polisi wakitejeleza amri hiyo kama maroboti yasiyotumia akili...!

Wavunja sheria lazima wakemewe Kwa lugha Kali kidogo...
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Enhe ukiishamuua unapata nini cha ziada?
Vitisho kila kauli inayotoka midomoni mwenu!
Kama kuna jinai mpeleke mtu kwenye vyombo vya kisheria.
 
Back
Top Bottom