BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Kwa hiyo ukibwatuka ndo hayo yote yataisha?Uliwahi kuona popote "ETHICS" zinazohusiana na kuteka watu, kuwaumiza au kuwaua?
Hata kama hujawahi kuziona au kuzisikia hizo: Nijulishe zile zinazohusiana na viongozi kuwa walaghai, waongo, wadanganyifu katika maswala ya uongozi wa nchi!
haya mambo ya kujisemea tu maneno, hata msiyojuwa maana yake ni nini yatatusaidia kitu gani?
Utoto ...