John Heche:Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134
Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko.

Sisty Nyahoza aliekwenda kwa marehemu mama Komu na kumshawishi kusaini karatasi ya kufungua kesi ambayo ilifungia chama chetu kufanya kazi siku 309..

Madhara mengi walitaka kukifuta chama kupitia kesi hiyo ya Said Issa.. kwa uwezo wa Mungu tumeshinda..

Sasa Sisty huyo huyo na ofisi hiyo hiyo ambayo inafanya kazi ya kuhujumu chadema wazi, inatuandikia barua kila baada ya mkutano na kila neno tunalosema… maneno pekee tunayoweza kusema tusiandikiwe barua na Sisty ni kumsifia Samia na serikali yake dhalimu ambayo haikuchaguliwa.

Kwa kifupi ofisi ya msajili itaingiza Nchi hii kwenye machafuko ya kisiasa..

Chadema ni taasisi ya Watanzania na Watanzania watailinda dhidi ya hujuma zote.
 
PALE KIBARAKA NA CHAWA ANAPOKUWA MWAMUZI UPANDE WA PILI LAZIMA UPATE SHDA.HECHE SIMAMIA HAPOHAPO.ILA NA NYIE CHADEMA PUNGUZENI UKALI WA MANENO NA MATUSI
 
Ofisi ya msajili inatumika wazi wazi kuidhulumu na kuihujumu Chadema, ni wazi hawajajifunza kwa yaliyotokea Oktoba 29, Sikio la kufa halisikii dawa
 
Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko.

Sisty Nyahoza aliekwenda kwa marehemu mama Komu na kumshawishi kusaini karatasi ya kufungua kesi ambayo ilifungia chama chetu kufanya kazi siku 309..

Madhara mengi walitaka kukifuta chama kupitia kesi hiyo ya Said Issa.. kwa uwezo wa Mungu tumeshinda..

Sasa Sisty huyo huyo na ofisi hiyo hiyo ambayo inafanya kazi ya kuhujumu chadema wazi, inatuandikia barua kila baada ya mkutano na kila neno tunalosema… maneno pekee tunayoweza kusema tusiandikiwe barua na Sisty ni kumsifia Samia na serikali yake dhalimu ambayo haikuchaguliwa.

Kwa kifupi ofisi ya msajili itaingiza Nchi hii kwenye machafuko ya kisiasa..

Chadema ni taasisi ya Watanzania na Watanzania watailinda dhidi ya hujuma zote.
Kuna binaadam ktk dunia hii wanajiona mungu mtu.
 
Huyo shit nyahoza ni shetani linalotaka damu za watanganyika zimwagike tena. Huyo shetani nyahoza ajue kuwa hakuna wa kumpigia goti shetani.
 
Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko.

Sisty Nyahoza aliekwenda kwa marehemu mama Komu na kumshawishi kusaini karatasi ya kufungua kesi ambayo ilifungia chama chetu kufanya kazi siku 309..

Madhara mengi walitaka kukifuta chama kupitia kesi hiyo ya Said Issa.. kwa uwezo wa Mungu tumeshinda..

Sasa Sisty huyo huyo na ofisi hiyo hiyo ambayo inafanya kazi ya kuhujumu chadema wazi, inatuandikia barua kila baada ya mkutano na kila neno tunalosema… maneno pekee tunayoweza kusema tusiandikiwe barua na Sisty ni kumsifia Samia na serikali yake dhalimu ambayo haikuchaguliwa.

Kwa kifupi ofisi ya msajili itaingiza Nchi hii kwenye machafuko ya kisiasa..

Chadema ni taasisi ya Watanzania na Watanzania watailinda dhidi ya hujuma zote.
Aisee
 
Hivi mfumo hauoni hatari anayotengenezo huyu msajili,lakini utekaji na rushwa havikemiwi,maanake wa juu karuhusu
 
Back
Top Bottom