figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
kwamba pwagu na pwaguzi wanapeana moyo right?🐒Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema mwanasiasa Peter Msigwa, ambaye amerejea hivi karibuni ndani ya chama hicho atajitetea mwenyewe kwa wananchi kuhusu sababu na mazingira ya maamuzi yake ya kisiasa ya kuhama na kurejea CHADEMA.
Akizungumza leo Juni 13, 2026, katika kipindi cha Nyambizi Mseto cha 88.9 Nuru FM, Heche amesema kurejea kwa Msigwa ndani ya CHADEMA ni uthibitisho wa mvuto na ushawishi wa chama hicho katika medani za siasa nchini.
haa Wasikusikie Sema Pole PoleRais kapatikana kimiujiza.
Kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee na zikahesabiwa ndani ya saa 72 maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
Jibu hoja hizo acha propaganda nyie ndo mnatufanya CCM tuonekane hakuna watu wenye akilikwamba pwagu na pwaguzi wanapeana moyo right?🐒
Atajibu Nini Muda Wote Mama MamaJibu hoja hizo acha propaganda nyie ndo mnatufanya CCM tuonekane hakuna watu wenye akili
Ukweli ni kwamba idadi hii ya kura si sahihi lakini walionda kupiga kura aslimia 95 walimchaguaRais kapatikana kimiujiza.
Kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee na zikahesabiwa ndani ya saa 72 maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.