Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.
Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Mbona ccm wao wanafanya mikutano hapo?Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.
Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X
"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Kariakoo inafanyika mikutano mingi tu hakuna biashara zozote za maanaIla maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.
Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
CCM walikuwepo Kariakoo pia,wakifanya mkutano.Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.
Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Kwani mkutano ulikuwa na VITA?Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.
Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
😆😆😆😆😆😆 polisi wana akili sanaAnaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X
"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
Mbona ccm wanafanya?! Hapo kariakooIla maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.
Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Ameachiliwa?Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X
"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
ndivyo inavyofaa kuwafanya vibaka na matapeli waropokaji wa kisiasa gentleman 🐒Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X
"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
Huo usumbufu hukuuona walipo fanya mkutano CCM? Usiwe mbinafsiIla maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.
Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
anatoa harufu ya bangi na pombe namna ile awekwe ndani kivip gentleman 🐒Ameachiliwa?
POLISI WAMEONYESHA UTOTO WAO, WANACHEZEA MAGARI YA SEREKALIAnaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X
"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
YesAmeachiliwa?
Yaani wasanii wakifanya shughuli zao za kimuziki kariakoo wala hakuna shida, Ila chadema ndio shida dah TanzaniaIla maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.
Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Mbona maulidi hufanyika kariko barabara hufungwa, yanga walivo win ubingwa walifanya paredi kariako zaid ya 3 hours wamefunga barabara msimbazi au hayo matukio huwa huyaoni?Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.