PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Baadhi ya viongozi wetu wa CHADEMA waliopigwa na kutupwa nje ya mji wakiugulia maumivu, huku sisi Nguvu ya Umma tumeduwaa bila kuingia barabarani kwa maelfu kuonesha tumechukizwa na sasa basi
1745508016236.jpeg

Viongozi wa CHADEMA waliotupwa nje ya mji wa DSM leo 24 Aprili 2025
 
Mbona maulidi hufanyika kariko barabara hufungwa, yanga walivo win ubingwa walifanya paredi kariako zaid ya 3 hours wamefunga barabara msimbazi au hayo matukio huwa huyaoni?
Nadhani Yanga au Simba maandamano yao hayapingani na serikali, yaani maadamano yao hayatishii serikali.
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Lakini hata chama tawala pia kimetumia lile eneo na kulikuwa hakuna bugudha wala karaha
 
Kwa kuwa hawatukani mamlaka,siku nao labda sio tena chama tawala waporomoshe matusi watakutana na wekundu FFU
Matusi Gani Heche alitukana Mamlaka ikapelekea Mkutano wake kuzuiwa...?
 
Matusi Gani Heche alitukana Mamlaka ikapelekea Mkutano wake kuzuiwa...?
Hivi kwanini kumezuka tabia ya kujibu kitu in a stressway?We are finished no basic constration in answering basic questions.
 
Back
Top Bottom