PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Siku Mungu aamue kuanza na vitengo kwa kuwatupa kwenye ule moto wa Jehanam, ataanza na police hakuna atasalimika
 
Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X

"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Unabii ulisema kuwa kila watakapojaribu kuzui ndivyo watazidi kujiharibia.

Hata wasipozuia mambo yao yatazidi kuharibika tu. They have no choice
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Ccm ndio wanaoruhusiwa tu?. Ksbb ni chadema busara itumike?. Uchawa mwingine mpaka aibu
 
Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X

"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Kwa maombi niliyosali jana Usiku.
Bwana Mungu aliyehai Mungu wa Mbinguni ametenda.

Atazidi kutenda mpaka Nchi ikombolewe.

wote tuseme amina.
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Shida ni nyie CCM na polisi wenu na sio watu na biashara zao...

Shida ni kuwa, CCM na serikali hawataki watu wasikie maoni na mtazamo tofauti na yale wanayoyasikia toka serikalini kuhusu maisha yao na biashara zao...!!!

CCM wamefanya mikutano maeneo hayohayo, polisi hawakuingilia na watu walisikiliza na huku shughuli zikiendelea kama kawaida bila shida...

Leo CHADEMA inakwenda kufanya mkutano palepale kwa staili ileile imegeuka kuwa ni "kuleta usumbufu?"

What nonsense is this..?
 
😀😀😀yaani
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
No reform no election
 
Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X

"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii"
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

😂😂😂😆😆😆
 
Nchi yenye vihoja vya kutengenezwa na vya fitna kwa mpinzani
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Unawazungumziaje na ccm mkuu?
 
Back
Top Bottom