PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
uko sawa kbs bt ccm wanaweza wakafanya na polisi wasiwaguse kbs ni kweli au si kweli?
 
Marekani na uingereza hawaruhusu kabisa mtu kugombea kama sio mlipa kodi ya mapato yaani income tax

Tanzania tunaachia waxiruraji wasio na kazi za kuwaingizia kipato na kulipa kodi ya mapato kama akina Heche,Lema na Lisu kuwa wanasiasa

Inatia aibu
Wewe kwa akili yako unafikiri sisi chadema hatuna makampuni! Fanya research kidogo utagundua kijani mnaishi kwa kutumia Kodi zetu wakati Cdm tunaishi kwa kutumia makampuni tuliyoanzisha Dunia nzima.
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Mkuu Dr Matola PhD kwanza nikiri kuwa nakuheshimu sana. Sawa na reply yako naomba kusema busara kweli ni muhimu, lakini si kisingizio cha kunyima watu haki yao ya kikatiba.

Kariakoo si eneo la mtu binafsi wala haliko juu ya Katiba ni sehemu ya Jiji la Dar es Salaam, na wananchi wa huko wana haki ya kusikia hoja za kisiasa kama wengine Hasa kwa sababu ya kutokuweza kupata muda wa kuhudhuria mikutano sehemu zingine ambazo polisi au wewe unge suggest.

Kama biashara zinaweza kuvumilia maandamano ya CCM au matamasha ya wasanii, kwa nini ziwe juu ya haki ya mikutano ya CHADEMA? Tusikubali kufunika ukandamizaji kwa vazi la 'busara'.

Nawasilisha kwa heshima na taathima!
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Mbona ccm huwa wanatumia palepale mikutano yao?
 
I wish Ningekua IGP

Nawaambieni mngebaki kushangaa.

Huyu Heche na Lema wangejutia maishani mwao.
Ndio hujawa IGP na hutakaa uwe.
Umebarikiwa kuwa jamvi la "wakubwa" hapo CCM, endelea kuuza kwenye mbio za mwenge pengine unaweza kubahatika kupata hata DC wa kukulea.
 
No Reforms inazIdi kupenya, naiona Tanganyika sonner than later.
 
anatoa harufu ya bangi na pombe namna ile awekwe ndani kivip gentleman šŸ’
Ulifanikiwa kumsogelea kiasi cha kujua harufu ya Bangi na pombe.....mpaka uchaguzi wa 2025 mkuu utakimbia nchi
 
sio poa watamshushaje barabarani ka dadapoa, mie ningegoma kushuka hadi wanipeleke home
 
Back
Top Bottom