PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Angekuwa Mbowe anafanya huo mkutano usingeleta huu ushauri wako. Ungeliona sawa tu
 
Polisi Tanzania waache kutumika vibaya mikutano ya hadhara iko kikatiba.
 
I wish Ningekua IGP

Nawaambieni mngebaki kushangaa.

Huyu Heche na Lema wangejutia maishani mwao.
 
Mbona ccm wao wanafanya mikutano hapo?

CCM hawaleti vurugu na fujo, Chadema wanaleta vurugu na fujo na matusi na kutishia serikali ya CCM, na CHADEMA hawataki kufuata maelekezo ya Polisi wetu, na wanawadharau sana Polisi, ulitegemea polisi wafanye nini?

CCM ni Chama Tawala, iwe iwavyo, lazima CCM itapewa priority in any political platform katika nchi yetu, hilo halina discussion.
 
Ameachiliwa?
Hakukamatwa alikua a aonyeshwa mji

Chakandumuz wazushi tu

Alipigishwa tour ya kariakoo kwenye pikapu mpya za polisi… atakua kajifunza mitaa yote ya kariakoo
 
I wish Ningekua IGP

Nawaambieni mngebaki kushangaa.

Huyu Heche na Lema wangejutia maishani mwao.
Ungekufa kifo kibaya cha laana ya wapenda haki na pengine ingefia guest house kwa Aibu na ndiyo maana hukuwa IGP kwani Akili zako ni finyu angeweza kuiletea nchi kesi kwenye mahakama ya ICC The Hague
 
Sheria zinasema ni taarifa tu.
Si kweli

Taarifa laazima imbatane na Kibali.

Mfano Mkutano unafanyikia eneo lenye mkusanyiko wa Chama Kingine, au eneo la kufanyia Mkutano kuna jambo lingine linaendelea?

Acha porojo

Kibali utolewa
 
Ungekufa kifo kibaya cha laana ya wapenda haki na pengine ingefia guest house kwa Aibu na ndiyo maana hukuwa IGP kwani Akili zako ni finyu angeweza kuiletea nchi kesi kwenye mahakama ya ICC The Hague
Kufa Gesti kuna shida gan?

Mimi kidume kuna shida gan kufia kwenye mapambano?

Nakuambia Ningekua Igp Chadema mngekalia kuti kavu na mngepoteana vibaya sana.

Mnadekezwa sana

Ila ipo siku nitashika huo wadhifa
 
CCM hawaleti vurugu na fujo, Chadema wanaleta vurugu na fujo na matusi na kutishia serikali ya CCM, na CHADEMA hawataki kufuata maelekezo ya Polisi wetu, na wanawadharau sana Polisi, ulitegemea polisi wafanye nini?

CCM ni Chama Tawala, iwe iwavyo, lazima CCM itapewa priority in any political platform katika nchi yetu, hilo halina discussion.
Hakuna haki, ccm hawatoi haki unategemea chadema waje na lugha gani? Wakati kazi ya upinzani ni kukataa mabaya ya chama Tawala, miaka 60 ccm bado wanaiba kura hawataki uchanguzi huru na haki
 
Si kweli

Taarifa laazima imbatane na Kibali.

Mfano Mkutano unafanyikia eneo lenye mkusanyiko wa Chama Kingine, au eneo la kufanyia Mkutano kuna jambo lingine linaendelea?

Acha porojo

Kibali utolewa
Kikatiba na kisheria polis hawaombwi kibali bali wanapewa taarifa tu ili watoe ulinzi lakini Polisiccm na ccm wao hifanya mikutano bila vibali kwa kuwa wanajua kibali hakipo kikatiba na sheria
 
Polisiccm hawasomi katiba hawajui kuwa hawana mamlaka ya vibali kisheria kazi yao ni kupewa taarifa na watoe ulinzi
 
Kikatiba na kisheria polis hawaombwi kibali bali wanapewa taarifa tu ili watoe ulinzi lakini Polisiccm na ccm wao hifanya mikutano bila vibali kwa kuwa wanajua kibali hakipo kikatiba na sheria
Sasa jichanganye fanya mkusanyiko useme unatoa taarifa tu.

Taarifa yako ikikubaliwa ndio unapewa idhini ya Kufanya mkusanyiko

Mfano Mlivyo mazuzu amkawii kufanya mkutano ili mkamatwe mpate kiki za kishamba
 
Hakuna haki, ccm hawatoi haki unategemea chadema waje na lugha gani? Wakati kazi ya upinzani ni kukataa mabaya ya chama Tawala, miaka 60 ccm bado wanaiba kura hawataki uchanguzi huru na haki
Nyie si nguvu ya Umma

Mbona mnalia lia sana
 
Ila maoni yangu Chadema wafanye movement zote lakini na busara iwaongoze.

Sehemu kama Kariakoo kiukweli kupeleka mikutano hapo ni kuleta usufumbu tu kwa watu, kama hauna jicho la kibiashara huwezi kuelewa logic ya kariakoo paachwe kama palivyo, njia za kuwafikishia ujumbe watu zipo nyingi.
Mbona wengine wanafanya? Au wakifanya upinzani ndo usumbufu unaongezeka?
 
Back
Top Bottom