Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Unaweza ukabishana na mtu hata kariakoo hapajuiMbona maulidi hufanyika kariko barabara hufungwa, yanga walivo win ubingwa walifanya paredi kariako zaid ya 3 hours wamefunga barabara msimbazi au hayo matukio huwa huyaoni?