Huu ushauri wako ulishawahi kuutoa kwa ccm pia pindi wanapofanya mikutano hapo?Mbinu ni kutumia wireless speaker kisha kiongozi anakuwa kwenye gari lisilo julikana au wachukue fremu na kuhutubia watu kila siku hakuna kosa...hiyo ni mbinu bora sana chadema siyo wabunifu vichwani ...pale kkoo wakiweka wireless soeaker zenye uwezo mkubwa kama 20 tu watawafikia watu wengi sana kila mtaa speaker 1 au 2 ...wafanye hivyo hadi mikoani na vijijini
Unafiki na uchawa unaqngamizq taifa