Kuna kitu naliona hakipo sawa ndani ya Chadema .
Ama wawafukize G55 au waitishe kikao cha dharura kisha kura zipigwe kupinga ama kukubaliana na maoni ya G55 .
Wakishindwa kwanye kura basi wakubali kuwa maamuzi ya wengi ndiyo Demokrasia.
No Reform No Election ilikua ni ya Mbowe lakini Mrema kwa makusudi ameamua kuunda Genge ndani ya Chama na kutumia media mara kwa mara kueneza uongo na chuki kuliko hata CCM.
Mrema ni Kati ya wachaga wabinafsi na wenye Roho Mbaya kuliko Mtanzania yeyote .
Haiwezekani Mtu aliyefanya mambo makubwa ndani ya Chama kama Lisu mpaka akachaguliwa kugombea Urais akiwa Hospitalini Ubelgiji baada ya kupigwa risasi 16 , hakuwahi kuomba kugombea urais wala umakamu wa Mwenyekiti wakati huo zaidi ya kuteuliwa na chama halafu leo yupo tena Gerezani kwa kesi ya uhaini wakati anakipigania Chama akiwa na ulemavu na risasi Mwilini ; John Mrema kwa roho yake Mbaya anaitisha tena vyombo vya habari na kuendeleza harakati za kuua chama na ili kujifurahisha CCM halafu arudi CCM kugombea kama anavyoahidiwa .
Nilifikiri anaitisha vyombo vya habari kutoa msimamo wa kulaani Kitendo cha Mwenyekiti kukamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhaini badala yake anasema uchaguzi utakua wa haki na huru utakaoinua ndoto za watu ndani ya Chadema .
Yaani wanawaza kupata viti maalumu vya bure kwa wanawake zao ili wawapelekee mil.2 kila mwezi . Wanataka mfumo ule ule wa kupeleka watu wao kinyemela eti ndizo ndoto za Watanzania .
Pumbavu kabisa .
Yaani anawaza kufa kwa ndoto za wake zake lakini hawazi kufa na kutekwa kwa vijana mamia wakati wa uchaguzi . Huyu hajui kuwa CCM wanajifanya wema kwa sababu wanaona Chadema hawajaeleweka. Leo hii Chadema wakisema wanashiriki kwa sheria azilizopo na tume yake ndipo vita inapoonekana .
Ushauri wangu . Mrema Afukuzwe kwanza yeye peke yake .
Vyama vyote duniani vinakosoana lakini sio kuunda chama ndani ya Chama .
Mpaka sasa G 55 ni Chama kamili ndani ya Chadema . Ni chama chenye uongozi ,vikao vyake ,slogano yake ,mikakati yake na malengo yake tofauti na Chadema .
Haraka sana utaratibu ufuatwe kipengele baada ya kipengele ili Mrema afukuzwe haraka sana . Atakua chama au watasababisha madhara makubwa sana ndani ya chama ikiwemo kutumika kuwaua baadhi ya watu ndani ya Chama. Yule mtu kwa wanaosoma saikolojia ni mtu mwovu sana hata kwa kuongea tu unaisoma sura yake. Ameweka pesa mbele kuliko kitu chochote . Ubunge anautaka kutimiza ndoto zake binafsi sio kulinda uhai wa watu na rasilimali za umma ili kuleta maendeleo endelevu .
Narudia tena Chadema Mfukuzeni John Mrema.
Nimesikitika sana jana na hasa baada ya kuona ITV wamempa coverage kubwa hii ni kitu iko planned.
Unapotaka kuuwa nyoka kata kichwa, Chadema wasisubili mpaka Lisu awe huru, swala la Lisu kuachiwa halina mjadala DPP mwenyewe ndio ataondowa kesi mahakamani.
Naunga mkono Mrema avuliwe uanachama mara moja kwa kufuata taratibu zote za chama, ili msajili wao akose pa kutolea ushuzi wake.
Inasikitisha mtu anawaza madaraka tu katika uchaguzi wa maigizo, huyu mpumbavu Mrema aligombea ubunge Segerea kata zote 13 zilienda ccm na mbunge yule mrembo Bonnah kuibuka mshindi.
Unajuwa nini alifanya yule shetani wa Chato baada ya kuwaita maafisa watendaji wote wa Tanzania nzima ikulu?
Kila kata iliagizwa kumpa mgombea wa ccm kura 3000 halafu ndio muanze kushindania kura halali, hapo unashinda vipi kwenye uchaguzi kama huo?
Sikutalajia Mrema awe wa kwanza kulazimisha kushiriki uchaguzi wa maigizo, ninachokiona kwa muda mrefu viti maalum vinewanufaisha wao na hasira za kuondolewa HQ ndio msingi wa chuki zote hizi.
Huyu ni mchaga mshamba sana, amezunguka na Lowasa nchi nzima hivi amekosa kupata mtaji mpaka leo hana biashara yoyote?
Huyu akapime DNA siyo mtoto wa Mrema amebambikiwa, hakuna mchaga boya kama huyu.
Mbowe baada ya kushindwa uchaguzi tu ametangaza anarudi kwenye biashara zake kutafuta maokoto huyo ndio mchaga sasa siyo boya Mrema.