John Heche: Tutawaeleza namna mabehewa yanavyonunuliwa. Kama ni mapya, yamepakwa rangi, n.k.

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hii ni kauli ya John Heche leo wakati Mwenyekiti mpya wa CHADEMA akikabidhiwa ofisi.

Amesema wanakwenda kuweka mambo mbalimbali hadharani na kwamba wanarudisha CHADEMA ya zamani.

Kasisitiza watayafanya haya na hawatayafanya kama tu watakuwa wamekufa au wako jela.

Niliwahi waambia mtakuja kumkumbuka Mbowe na sasa wakati huo umefika.


View: https://youtu.be/JDXojZs-G_Q
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…