Pre GE2025 John Heche: Walimu walipwe vizuri, wasipewe vitenge vya 'Mama' bure, haya ni matusi kwa Walimu kuvaa mabango

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu

"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Acha wapewe tu waambulie hicho hicho. Maana malipo kwa ccm ni ndoto
 
Heche unajua walikuwa wanalipwa mpaka 2M unadhani hii ni pesa kidogo?
Wangapi wana lipwa hiyo 2m, hata wale wanao lipwa 2m Paye 600 000 bima 2% chama cha waalimu 1% mkopo wa chuo 15% mkopo wake nmb 5% niambie anabakiza nini hapo ndo iwe take home.
 
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu

"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

jamaa ana stres sana,
alipoteza pension yote ya ubunge kwenye kubet,

inasikitisha, inafedhehesha sana aise :NoGodNo:
 
Watanzania 90% ni nyani lakini walimu 97% ni nyumbu
WAlimu ni percent ndogo sana mkuu. And the problem ni kwamba wamepewa ajira na serikali. Ndo maana mimi natumia neno watanzania kwa ujumla wetu (wananchi) maana huwa tunalalamika walimu wanasaidia kijani kuiba kura, na tunawataka walimu hawa kukataa jazi chafu wanayopewa kwenye uchaguzi. Lakini sisi wananchi kwa ujumla wetu tunajiweka kando tunawaacha hao wachache wafanye hiyo kazi ambayo kimsingi wanakua under-pressure ya kupoteza kazi na ukifikiria walimu wasio kua na ajira ni wengi kuliko walioajiriwa.

Tatizo kubwa ni sisi "wananchi" kwa ujumla wetu mkuu nawasilisha
 
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu

"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mbona wenyewe wamevipenda.
 
Wangekuwa na umoja serikali ingeshituka, juzi mwenzao kakamatwa huko Geita CWT kimya hakuna hata mwalimu mmoja ametetea tofauti na TLS na CHADEMA.
 
Walimu mnatuonea tu, hii nchi hakuna anayejitambua aisee!
Kama walimu mnajitambua,msiwe mnaruhusu wizi na kura feki kwenye masanduku halali ya kura. Oktoba 2025 msiruhusu kura feki na masanduku feki,kufanya hivyo ni kuruhusu kuongozwa na watu wasio na uwezo au watu wasio na kibali cha Mungu kwa miaka mitano,hii ni hatari kwa nchi.

Rushwa wanazowapa muwe mnachukua lakini kwenye sanduku la kura muwe mnatenda haki ili kuepuka hatari ya kuongozwa na watu wasio na uwezo au ambao hawana kibali cha kuongoza kutoka kwa Mungu kwa miaka mitano.
 
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu

"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hivi ule mpango wa Walimu wa Dar es Salaam kununuliwa suti na viatu ili "wapendeze" umeishia wapi? au wamepewa kimya kimya? watu mna siri sana.
 
Mkuu nyie mmezindi, mfano huyo aliyekamatwa hatujasikia CWT lakini TLS na CHADEMA walipaza sauti, walimu mngekuwa na umoja nchi ingekuwa mbali sn, kwanza wengi wenu mnaamini ajira ni hisani ya Rais na siyo haki kama walipa kodi wa nchi hii.
Haupo sahihi mkuu,mfano hiyo CWT unayosema kwanza hao walimu wengi hawataki hata kuisikia na wengi wamejaribu kutoka ila wanarudishwa kinguvu, na jambo hili hata mamlaka zinajua lakini hakuna linalofanyika. Atoto Atanisahihisha kama nimepindisha uhalisia.

Ndo maana nasema shida wananchi kwa ujumla. Tungekua na mshikamano wanachi sisi tungeliangalia jambo la wale walimu wa Neto kama vijana wetu, ndugu zetu, wazazi wetu, majirani zetu, wapo mtaani licha uhitaji katika shule zetu. Wananchi tukianza kuangalia mambo kwa namna hii labda tunaweza leta balance ya power mkuu
 
Back
Top Bottom