Pre GE2025 John Heche: Walimu walipwe vizuri, wasipewe vitenge vya 'Mama' bure, haya ni matusi kwa Walimu kuvaa mabango

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TUfanye sawa. Wakati huo sisi wananchi tumefanya nini?
Mkuu,hawa si ndo wakati wa kusimamia kura wanapewa elfu tano tano,kuruhusu uchafuzi...shame on them pour brain
 
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu

"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Heche yupo sahii sana , leo ccm ma machawa wake imekua ya wavaa mabango,
 
Mkuu,hawa si ndo wakati wa kusimamia kura wanapewa elfu tano tano,kuruhusu uchafuzi...shame on them pour brain
Wakati huu jeshi la polisi lipo wapi, jeshi la wananchi lipo wapi, wale usalama wa taifa wapo wapi, wale wa tume ya uchaguzi na wakurugenzi wako wapi na mwisho kabisa sisi wananchi kwa ujumla tuko wapi?

Mimi nasema umeona hayo makundi yote nilitaja hapo juu, ukichukua kundi moja la walimu itakua upofu
 
Waalimu wasenge sana.
Ndo wanaoongoza kugombania posho ya kusimamia UCHAGUZI.
Na ndo huwa wanashirikiana na Mkurugenzi wa Monchwari kuchakachua kura za wapiga kura.

Si wanajiona kuwa Serikali inawapa kipaumbele,na washukuru mikopo tofauti na hapo😂😂😂😂😂.

Wanatumikopo flani hivi,akijitahidi anamiriki gari.Hapo ametoboa
 
Upofu
 
Nyie si ndio mnagombaniaga posho ya kusimamia uchaguzi.
Nyumbu nyie,na ndo mnasaidizana na Mkurugenzi wa Mnchwari kuchakachua kura
Au sio!! Then nyie ambao sio nyumbu mkayajua hayo, mlifanya nini?
 
jamaa ana stres sana,
alipoteza pension yote ya ubunge kwenye kubet,

inasikitisha, inafedhehesha sana aise :NoGodNo:
Walimu wanaataabika wanadharauliwa 😄
Wanatumika kama toilet paper

Ova
 
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu

"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Heche una hoja, ila ht mwl angelipwa 6M akatae kupokea zawadi?
 
Walimu wanaataabika wanadharauliwa 😄
Wanatumika kama toilet paper

Ova
Gentleman,
acheni kudharau walimu,
ni muhimu sana kuwaheshimu,
na hakuna haja kujaribu kuwahadaa au kujaribu kuwachonganisha na kupotosha. Haina maana yoyote.
acheni wafanye kazi zao kwa amani :NoGodNo:
 
K

Kati ya 1000,Ambal ni waalimu na sio waganga njaA ni 70.Wengine ni kwao,Bora uzima.Hao waliobak ukiingia kwao utakuta wanakadi za ccm kwa uoga na sio kutoka moyoni
 
Back
Top Bottom