Jadili basi hoja yake kuwa walimu wanahitaji mshara wa kuwawezesha kununua vitenge wavipendavyo sio kupewa kama hisanijamaa ana stres sana,
alipoteza pension yote ya ubunge kwenye kubet,
inasikitisha, inafedhehesha sana aise![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jadili basi hoja yake kuwa walimu wanahitaji mshara wa kuwawezesha kununua vitenge wavipendavyo sio kupewa kama hisanijamaa ana stres sana,
alipoteza pension yote ya ubunge kwenye kubet,
inasikitisha, inafedhehesha sana aise![]()
NO REFORMS NO ELECTIONMakamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu
"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Walimu ni wapuuzi sana Acha watumike tuuHaupo sahihi mkuu,mfano hiyo CWT unayosema kwanza hao walimu wengi hawataki hata kuisikia na wengi wamejaribu kutoka ila wanarudishwa kinguvu, na jambo hili hata mamlaka zinajua lakini hakuna linalofanyika. Atoto Atanisahihisha kama nimepindisha uhalisia.
Ndo maana nasema shida wananchi kwa ujumla. Tungekua na mshikamano wanachi sisi tungeliangalia jambo la wale walimu wa Neto kama vijana wetu, ndugu zetu, wazazi wetu, majirani zetu, wapo mtaani licha uhitaji katika shule zetu. Wananchi tukianza kuangalia mambo kwa namna hii labda tunaweza leta balance ya power mkuu
Soma post #14 mkuu utanielewaWalimu ni wapuuzi sana Acha watumike tuu
Mke wake ni Mwalimu wa Nyabulogoya Sekondari hapa Jijini Mwanza. Hivyo anaujua "utamu" wa mshahara mdogo ndio maana hamshauri auache kama walivyomshauri Mwalimu Rehema wa Nsumba akaacha ualimu eti akawa Katibu wa Chadema Kanda sasa yupo anaadhirika.Heche unajua walikuwa wanalipwa mpaka 2M unadhani hii ni pesa kidogo?
naibu waziri mkuu alieleza kitambo mno juu ya anachojaribu kubeza na kupendekeza huyo adict wa kubetiJadili basi hoja yake kuwa walimu wanahitaji mshara wa kuwawezesha kununua vitenge wavipendavyo sio kupewa kama hisani

Ni muda wa kushikamana kuitoa CCM ilijaa mashetani tupuHaupo sahihi mkuu,mfano hiyo CWT unayosema kwanza hao walimu wengi hawataki hata kuisikia na wengi wamejaribu kutoka ila wanarudishwa kinguvu, na jambo hili hata mamlaka zinajua lakini hakuna linalofanyika. Atoto Atanisahihisha kama nimepindisha uhalisia.
Ndo maana nasema shida wananchi kwa ujumla. Tungekua na mshikamano wanachi sisi tungeliangalia jambo la wale walimu wa Neto kama vijana wetu, ndugu zetu, wazazi wetu, majirani zetu, wapo mtaani licha uhitaji katika shule zetu. Wananchi tukianza kuangalia mambo kwa namna hii labda tunaweza leta balance ya power mkuu
Hapo kwenye kushikamana ndo mgororo ulipo hapo, ila tutafikaNi muda wa kushikamana kuitoa CCM ilijaa mashetani tupu
Sumu imeanza kuingia sehemu zote, walimu na afya walizoea wakimaliza chuo wanaajiriwa moja kwa moja sahivi ni kipengele, wasubiri tena 2027 na 2030, CCM ni mashetani haswaHapo kwenye kushikamana ndo mgororo ulipo hapo, ila tutafika
Na mambo kama hayabndo yanaweza saidia leta huo mshikamano kwa haraka.Sumu imeanza kuingia sehemu zote, walimu na afya walizoea wakimaliza chuo wanaajiriwa moja kwa moja sahivi ni kipengele, wasubiri tena 2027 na 2030, CCM ni mashetani haswa
Na hao ndio 99.999999% ya watanzania woteee.Mkuu nyie mmezindi, mfano huyo aliyekamatwa hatujasikia CWT lakini TLS na CHADEMA walipaza sauti, walimu mngekuwa na umoja nchi ingekuwa mbali sn, kwanza wengi wenu mnaamini ajira ni hisani ya Rais na siyo haki kama walipa kodi wa nchi hii.
Lazima tuamke harak aNa mambo kama hayabndo yanaweza saidia leta huo mshikamano kwa haraka.
Pata picha nyuzi za matatizo ya maji katika viunga hivi vya Dar es salaam, alafu wana dar es salaam wenyewe tupo tu. Haya ni matatizo makubwa mkuu
Hatari snNa hao ndio 99.999999% ya watanzania woteee.
Unavyoongea utafikiri nchi nzima ni walimu tu ndio huwa wanasimamia hizo kura. Hii nchi hakuna mzalendo wa hivyo, tuna uzalendo na matumbo yetu tu.Kama walimu mnajitambua,msiwe mnaruhusu wizi na kura feki kwenye masanduku halali ya kura. Oktoba 2025 msiruhusu kura feki na masanduku feki,kufanya hivyo ni kuruhusu kuongozwa na watu wasio na uwezo au watu wasio na kibali cha Mungu kwa miaka mitano,hii ni hatari kwa nchi.
Rushwa wanazowapa muwe mnachukua lakini kwenye sanduku la kura muwe mnatenda haki ili kuepuka hatari ya kuongozwa na watu wasio na uwezo au ambao hawana kibali cha kuongoza kutoka kwa Mungu kwa miaka mitano.
Matatizo ya nchi hii ni mengi:-Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu
"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hiyo CWT wanategemea waongee nini ilihali ni tawi la wenyewe!!Haupo sahihi mkuu,mfano hiyo CWT unayosema kwanza hao walimu wengi hawataki hata kuisikia na wengi wamejaribu kutoka ila wanarudishwa kinguvu, na jambo hili hata mamlaka zinajua lakini hakuna linalofanyika. Atoto Atanisahihisha kama nimepindisha uhalisia.
Tumebaki tunanyoosheana vidole tu ila karibia wote ni mule mule tu.Ndo maana nasema shida wananchi kwa ujumla. Tungekua na mshikamano wanachi sisi tungeliangalia jambo la wale walimu wa Neto kama vijana wetu, ndugu zetu, wazazi wetu, majirani zetu, wapo mtaani licha uhitaji katika shule zetu. Wananchi tukianza kuangalia mambo kwa namna hii labda tunaweza leta balance ya power mkuu
Niko hapa mpakani naelekea Burundi🤣🤣Kimbia shindikanaa 😁
TUfanye sawa. Wakati huo sisi wananchi tumefanya nini?Waalim wote wa Enzi hii ni wapumbavu na wajinga,sambamba na askari polish na magereza..haya ndo makundi yanayokwamisha nchi
Mkuu Benja, hizo takwimu za Bongo ama wapi?Watanzania 90% ni nyani lakini walimu 97% ni nyumbu