Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ualimu ni wito sio mshahara mkubwa na maisha mazuri, ni muhimu sana kuelewa na kufahamu hili,K
Kati ya 1000,Ambal ni waalimu na sio waganga njaA ni 70.Wengine ni kwao,Bora uzima.Hao waliobak ukiingia kwao utakuta wanakadi za ccm kwa uoga na sio kutoka moyoni
Porojo za wanasiasa haziwezi kusaidia chochote wakati walimu wenyewe wanaendelea kuchapa kazi zao vizur tu na ufaulu wa watoto wetu unaongezeka mwaka hadi mwaka 🐒