Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Acha wapewe tu waambulie hicho hicho. Maana malipo kwa ccm ni ndotoMakamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu
"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"
Wangapi wana lipwa hiyo 2m, hata wale wanao lipwa 2m Paye 600 000 bima 2% chama cha waalimu 1% mkopo wa chuo 15% mkopo wake nmb 5% niambie anabakiza nini hapo ndo iwe take home.Heche unajua walikuwa wanalipwa mpaka 2M unadhani hii ni pesa kidogo?
WAtanzania kwa ujumla wetu wote ni nyumbuWalimu ni nyumbu wa mjini hawajitambui
jamaa ana stres sana,Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu
"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Watanzania 90% ni nyani lakini walimu 97% ni nyumbuWAtanzania kwa ujumla wetu wote ni nyumbu
Walimu mnatuonea tu, hii nchi hakuna anayejitambua aisee!Walimu ni nyumbu wa mjini hawajitambui
True 👏👏👏WAtanzania kwa ujumla wetu wote ni nyumbu
Mkuu nyie mmezindi, mfano huyo aliyekamatwa hatujasikia CWT lakini TLS na CHADEMA walipaza sauti, walimu mngekuwa na umoja nchi ingekuwa mbali sn, kwanza wengi wenu mnaamini ajira ni hisani ya Rais na siyo haki kama walipa kodi wa nchi hii.Walimu mnatuonea tu, hii nchi hakuna anayejitambua aisee!
WAlimu ni percent ndogo sana mkuu. And the problem ni kwamba wamepewa ajira na serikali. Ndo maana mimi natumia neno watanzania kwa ujumla wetu (wananchi) maana huwa tunalalamika walimu wanasaidia kijani kuiba kura, na tunawataka walimu hawa kukataa jazi chafu wanayopewa kwenye uchaguzi. Lakini sisi wananchi kwa ujumla wetu tunajiweka kando tunawaacha hao wachache wafanye hiyo kazi ambayo kimsingi wanakua under-pressure ya kupoteza kazi na ukifikiria walimu wasio kua na ajira ni wengi kuliko walioajiriwa.Watanzania 90% ni nyani lakini walimu 97% ni nyumbu
Mbona wenyewe wamevipenda.Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu
"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wangekuwa na umoja serikali ingeshituka, juzi mwenzao kakamatwa huko Geita CWT kimya hakuna hata mwalimu mmoja ametetea tofauti na TLS na CHADEMA.WAlimu ni percent ndogo sana mkuu. And the problem ni kwamba wamepewa ajira na serikali. Ndo maana mimi natumia neno watanzania kwa ujumla wetu (wananchi) maana huwa tunalalamika walimu wanasaidia kijani kuiba kura, na tunawataka walimu hawa kukataa jazi chafu wanayopewa kwenye uchaguzi. Lakini sisi wananchi kwa ujumla wetu tunajiweka kando tunawaacha hao wachache wafanye hiyo kazi ambayo kimsingi wanakua under-pressure ya kupoteza kazi na ukifikiria walimu wasio kua na ajira ni wengi kuliko walioajiriwa.
Tatizo kubwa ni sisi "wananchi" kwa ujumla wetu mkuu nawasilisha
Kama walimu mnajitambua,msiwe mnaruhusu wizi na kura feki kwenye masanduku halali ya kura. Oktoba 2025 msiruhusu kura feki na masanduku feki,kufanya hivyo ni kuruhusu kuongozwa na watu wasio na uwezo au watu wasio na kibali cha Mungu kwa miaka mitano,hii ni hatari kwa nchi.Walimu mnatuonea tu, hii nchi hakuna anayejitambua aisee!
Hivi ule mpango wa Walimu wa Dar es Salaam kununuliwa suti na viatu ili "wapendeze" umeishia wapi? au wamepewa kimya kimya? watu mna siri sana.Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu
"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Haupo sahihi mkuu,mfano hiyo CWT unayosema kwanza hao walimu wengi hawataki hata kuisikia na wengi wamejaribu kutoka ila wanarudishwa kinguvu, na jambo hili hata mamlaka zinajua lakini hakuna linalofanyika. Atoto Atanisahihisha kama nimepindisha uhalisia.Mkuu nyie mmezindi, mfano huyo aliyekamatwa hatujasikia CWT lakini TLS na CHADEMA walipaza sauti, walimu mngekuwa na umoja nchi ingekuwa mbali sn, kwanza wengi wenu mnaamini ajira ni hisani ya Rais na siyo haki kama walipa kodi wa nchi hii.
Kimbia shindikanaa 😁Walimu mnatuonea tu, hii nchi hakuna anayejitambua aisee!