Pre GE2025 John Heche: Walimu walipwe vizuri, wasipewe vitenge vya 'Mama' bure, haya ni matusi kwa Walimu kuvaa mabango

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
jamaa ana stres sana,
alipoteza pension yote ya ubunge kwenye kubet,

inasikitisha, inafedhehesha sana aise
Jadili basi hoja yake kuwa walimu wanahitaji mshara wa kuwawezesha kununua vitenge wavipendavyo sio kupewa kama hisani
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
Walimu ni wapuuzi sana Acha watumike tuu
 
Heche unajua walikuwa wanalipwa mpaka 2M unadhani hii ni pesa kidogo?
Mke wake ni Mwalimu wa Nyabulogoya Sekondari hapa Jijini Mwanza. Hivyo anaujua "utamu" wa mshahara mdogo ndio maana hamshauri auache kama walivyomshauri Mwalimu Rehema wa Nsumba akaacha ualimu eti akawa Katibu wa Chadema Kanda sasa yupo anaadhirika.
 
Jadili basi hoja yake kuwa walimu wanahitaji mshara wa kuwawezesha kununua vitenge wavipendavyo sio kupewa kama hisani
naibu waziri mkuu alieleza kitambo mno juu ya anachojaribu kubeza na kupendekeza huyo adict wa kubeti
 
Ni muda wa kushikamana kuitoa CCM ilijaa mashetani tupu
 
Reactions: Lax
Hapo kwenye kushikamana ndo mgororo ulipo hapo, ila tutafika
Sumu imeanza kuingia sehemu zote, walimu na afya walizoea wakimaliza chuo wanaajiriwa moja kwa moja sahivi ni kipengele, wasubiri tena 2027 na 2030, CCM ni mashetani haswa
 
Reactions: Lax
Sumu imeanza kuingia sehemu zote, walimu na afya walizoea wakimaliza chuo wanaajiriwa moja kwa moja sahivi ni kipengele, wasubiri tena 2027 na 2030, CCM ni mashetani haswa
Na mambo kama hayabndo yanaweza saidia leta huo mshikamano kwa haraka.
Pata picha nyuzi za matatizo ya maji katika viunga hivi vya Dar es salaam, alafu wana dar es salaam wenyewe tupo tu. Haya ni matatizo makubwa mkuu
 
Mkuu nyie mmezindi, mfano huyo aliyekamatwa hatujasikia CWT lakini TLS na CHADEMA walipaza sauti, walimu mngekuwa na umoja nchi ingekuwa mbali sn, kwanza wengi wenu mnaamini ajira ni hisani ya Rais na siyo haki kama walipa kodi wa nchi hii.
Na hao ndio 99.999999% ya watanzania woteee.
 
Na mambo kama hayabndo yanaweza saidia leta huo mshikamano kwa haraka.
Pata picha nyuzi za matatizo ya maji katika viunga hivi vya Dar es salaam, alafu wana dar es salaam wenyewe tupo tu. Haya ni matatizo makubwa mkuu
Lazima tuamke harak a
 
Reactions: Lax
Unavyoongea utafikiri nchi nzima ni walimu tu ndio huwa wanasimamia hizo kura. Hii nchi hakuna mzalendo wa hivyo, tuna uzalendo na matumbo yetu tu.
 
Matatizo ya nchi hii ni mengi:-
Ujinga
Umaskini
Maradhi
Uchawa
 
Hiyo CWT wanategemea waongee nini ilihali ni tawi la wenyewe!!
Tumebaki tunanyoosheana vidole tu ila karibia wote ni mule mule tu.
 
Reactions: Lax
Waalim wote wa Enzi hii ni wapumbavu na wajinga,sambamba na askari polish na magereza..haya ndo makundi yanayokwamisha nchi
 
Reactions: Lax
Waalim wote wa Enzi hii ni wapumbavu na wajinga,sambamba na askari polish na magereza..haya ndo makundi yanayokwamisha nchi
TUfanye sawa. Wakati huo sisi wananchi tumefanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…