Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hivi Msigwa ana cheo gani huko CCMYuko sahihi. Na huko walikokwenda kwenyewe hakuna walichoambulia. Walau wale mamluki wachache waliokimbilia ccm walikumbukwa kwenye uteuzi.
Msigwa anaomba Mungu apewe japo udc huko ccm, ila Heche kwa maelezo yake anawalenga kile kikundi cha akina Mrema na Kigaila waliotimkia chauma!.Hivi Msigwa ana cheo gani huko CCM
Katika mahojiano yake na Wasafi FM, John Heche alitoa mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa, kuhama vyama, na msimamo wa Chadema kwa waliohama CHADEMA na kwenda Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
"Watu waliotoka kwa wingi ambao wamewahi kuwa viongozi kwenye chama hiki ni watu walioenda chama kinaitwa Chauma. Mara nyingi anatoka mtu mmoja, ameshawishiwa na nini... na sababu zinafahamika: watu waliambiwa huwezi kushinda, kulikuwa na ushawishi."
"Mtu amekaa Makao Makuu ya chama kwa miaka 25, hajawahi kuona ubaya wa chama. Kesho chama kimefanya uchaguzi, amekuja mwenyekiti mpya na timu mpya, wewe unaambiwa sasa rudi kule wilayani... unatoka unasema hiki chama ni kibaya. Hivi unaeleweka?"
"Watu walioondoka Chadema walitaka madaraka... ni watu waliotoka baada ya kukosa vyeo."
"Ni kama wewe umeachana na mke wako, unaanza kusema mke wangu kwanza kikojozi, huyu hafai; hukuwahi kusema ukiwa pale."
Kwani yeye Heche kwa kumtweza utu na kumtukana Mbowe alikuwa anataka nini? madaraka au cheo?
au lengo la mwanasiasa ni kutaka nini?
Ndio maana nasema kuwa Heche ni mtu wa visasi. Waliondoka kwa sababu walitaka kushiriki kwenye uchaguzi. Wangetaka madaraka wangebaki Chadema na kuwachimba viongozi wao wakiwa ndani ya chama. Ni mwendo wa kuchafuana. Mtu anaesema kuwa wakina Ruge walitaka madaraka kwa kuhamia chama kinachoitwa Chaumma ( dharau nyingine), halafu anamkumbatia mtu aliyekubali kuapishwa gereji ili awe mbunge na alikuwa mbunge kwa muhula mzima kwa kupigiwa kifua na chama tawala! Wakati huo, hao anaowasema walikuwa wanapata misukosuko mingi wakati wanakipigania Chadema na viongozi wake.Katika mahojiano yake na Wasafi FM, John Heche alitoa mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa, kuhama vyama, na msimamo wa Chadema kwa waliohama CHADEMA na kwenda Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
"Watu waliotoka kwa wingi ambao wamewahi kuwa viongozi kwenye chama hiki ni watu walioenda chama kinaitwa Chauma. Mara nyingi anatoka mtu mmoja, ameshawishiwa na nini... na sababu zinafahamika: watu waliambiwa huwezi kushinda, kulikuwa na ushawishi."
"Mtu amekaa Makao Makuu ya chama kwa miaka 25, hajawahi kuona ubaya wa chama. Kesho chama kimefanya uchaguzi, amekuja mwenyekiti mpya na timu mpya, wewe unaambiwa sasa rudi kule wilayani... unatoka unasema hiki chama ni kibaya. Hivi unaeleweka?"
"Watu walioondoka Chadema walitaka madaraka... ni watu waliotoka baada ya kukosa vyeo."
"Ni kama wewe umeachana na mke wako, unaanza kusema mke wangu kwanza kikojozi, huyu hafai; hukuwahi kusema ukiwa pale."
MuraLiHeche linaongea kimamlaka
Kama huna point ni busara zaidi kukaa kimya na kusoma comments za watu kuliko kuandika utopoloKwani yeye Heche kwa kumtweza utu na kumtukana Mbowe alikuwa anataka nini? madaraka au cheo?
au lengo la mwanasiasa ni kutaka nini?
kaa kimya gentleman,Kama huna point ni busara zaidi kukaa kimya na kusoma comments za watu kuliko kuandika utopolo