John Heche: Wanaonitumia fedha, wazitume kwenye akaunti ya CHADEMA

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Ndg. John Heche amezungumza na watanzania jioni ya Tarehe 11 July 2026 nyumbani kwake Tarime mjini ambapo amewashukuru kwa simu na jumbe za pole.

Pia soma:Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Hivi karibuni kiongozi huyo alifiwa na aliyekuwa Dereva wake marehemu Suez Maradufu ambaye Heche amesema amekuwa karibu na marehemu Suez tangu akiwa shuleni na akiwa miaka 16 marehemu Suez alikuwa ni Dereva wa Baba yake.

Heche ameongeza kuwa sio rahisi kujibu jumbe na simu ya kila mtu, kila kiongozi, kila mtanzania ndio maana ameamua kwa pamoja kujibu pole hizo.

Katika hatua nyingine Heche amebainisha kupokea simu nyingi kutoka kwa wanachama wa Chadema na watanzania kwa ujumla wanaotaka kumtumia fedha ili kumpa pole na kumtia moyo kama Kiongozi wa CHADEMA, akiomba wote walioguswa na harakati zake kutuma fedha hizo kwenye akaunti za chama ili kusaidia katika maandalizi ya Mkutano mkuu wa CHADEMA unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Heche arudishe pesa za chadema,
aache uhuni bana :pedroP:
 
Binafsi,ningependa nikutumie wewe Heche maana ndio nina imani na wewe.Hizi kelele ni ujinga tu kwani pesa si ni za kwetu
 
Huyo jamaa mpaka muda wake uishe atakuwa tajiri yeye na familia yake.
 
Just imagine CHUMA TL mwezi wa 9 anaachiwa huru afu waleee.. .. mapambano ya katiba mpya yanaanza, huku Heche Kule TL watu watakunya.
 
KUITIKISA CHADEMA UNAPASWA UWE NA ROHO YA PAKA, WAMEPITIA MISUKOSUKO MINGI. HATA WAKATI WA MBOWE TUHUMA ZA UBADHIRIFU ZILIKUWEPO ANGALAU KULIKUWA NA RUZUKU. KWA SASA WAACHIENI ANGALAU HIYO TONE TONE,NI YA KWETU TUNATOA KWA RIDHAA YETU WANANCHI. MAANA ILISEMWA AWALI KUWA LEMA KALA PESA SASA NI HECHE HIZI NI MBINU ZA WASHINDANI. MUWE MAKINI
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Ndg. John Heche amezungumza na watanzania jioni ya Tarehe 11 July 2026 nyumbani kwake Tarime mjini ambapo amewashukuru kwa simu na jumbe za pole.

Pia soma:Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Hivi karibuni kiongozi huyo alifiwa na aliyekuwa Dereva wake marehemu Suez Maradufu ambaye Heche amesema amekuwa karibu na marehemu Suez tangu akiwa shuleni na akiwa miaka 16 marehemu Suez alikuwa ni Dereva wa Baba yake.

Heche ameongeza kuwa sio rahisi kujibu jumbe na simu ya kila mtu, kila kiongozi, kila mtanzania ndio maana ameamua kwa pamoja kujibu pole hizo.

Katika hatua nyingine Heche amebainisha kupokea simu nyingi kutoka kwa wanachama wa Chadema na watanzania kwa ujumla wanaotaka kumtumia fedha ili kumpa pole na kumtia moyo kama Kiongozi wa CHADEMA, akiomba wote walioguswa na harakati zake kutuma fedha hizo kwenye akaunti za chama ili kusaidia katika maandalizi ya Mkutano mkuu wa CHADEMA unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Chuma hiki hapa 🔥🔥🔥🔥
Huyu Jamaa ni Mzalendo sana
 
kwahyo watu 30,000 tukichanga 10,000/= tunafikisha kabisa 300,000,000/=. Wazalendo tusaidie chama jamani.
 
Hata kama Heche kazipiga kweli mbona Mwamba alipozipiga hatukusikia hizi kelele zote?

CDM ishapata hadi hati za ukaguzi zenye mashaka kutoka kwa CAG na hatukuwasikia hawa watu!

Sasa hivi ndiyo wana uchungu sana na pesa za chama?

Huu ni mradi tu unasukwa na muda si mrefu lengo lake litakuwa wazi C& P.
 
Huyo sio chacha zakayo waliomuua wakamtengenezea ajali. Heche wili be a man of people till end
 
Back
Top Bottom