Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Maelekezo ya Heche ni rahisi na yanatekelezeka bila makandokando!What if akipokea hizo fedha na kuziwasilisha chadema kutakuwa na changamoto yoyote?
Heche arudishe pesa za chadema,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Ndg. John Heche amezungumza na watanzania jioni ya Tarehe 11 July 2026 nyumbani kwake Tarime mjini ambapo amewashukuru kwa simu na jumbe za pole.
Pia soma:Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
Hivi karibuni kiongozi huyo alifiwa na aliyekuwa Dereva wake marehemu Suez Maradufu ambaye Heche amesema amekuwa karibu na marehemu Suez tangu akiwa shuleni na akiwa miaka 16 marehemu Suez alikuwa ni Dereva wa Baba yake.
Heche ameongeza kuwa sio rahisi kujibu jumbe na simu ya kila mtu, kila kiongozi, kila mtanzania ndio maana ameamua kwa pamoja kujibu pole hizo.
Katika hatua nyingine Heche amebainisha kupokea simu nyingi kutoka kwa wanachama wa Chadema na watanzania kwa ujumla wanaotaka kumtumia fedha ili kumpa pole na kumtia moyo kama Kiongozi wa CHADEMA, akiomba wote walioguswa na harakati zake kutuma fedha hizo kwenye akaunti za chama ili kusaidia katika maandalizi ya Mkutano mkuu wa CHADEMA unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Katafuta pesa gani,hao bwana zako wana miliki Vitalu vya vya uwindaji na migodi haujawaona? Nyakumwana,nyakwenyu,mama akoHeche aache janja janja. Tulisema hapa kuwa katafuna pesa
Dr Manyau vipi?Safi, nafasi nzuri kabisa ya kujisafisha nnya!!
Fresh sheikh Mwaipopo, kwema?Dr Manyau vipi?
Umeona ee?!!! Amepata mtaji mzuri kabisa wa nyumbu.Huyo jamaa mpaka muda wake uishe atakuwa tajiri yeye na familia yake.
πTaratibu mkuu, akikusikia mkewe mtagombana
Chuma hiki hapa π₯π₯π₯π₯
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Ndg. John Heche amezungumza na watanzania jioni ya Tarehe 11 July 2026 nyumbani kwake Tarime mjini ambapo amewashukuru kwa simu na jumbe za pole.
Pia soma:Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
Hivi karibuni kiongozi huyo alifiwa na aliyekuwa Dereva wake marehemu Suez Maradufu ambaye Heche amesema amekuwa karibu na marehemu Suez tangu akiwa shuleni na akiwa miaka 16 marehemu Suez alikuwa ni Dereva wa Baba yake.
Heche ameongeza kuwa sio rahisi kujibu jumbe na simu ya kila mtu, kila kiongozi, kila mtanzania ndio maana ameamua kwa pamoja kujibu pole hizo.
Katika hatua nyingine Heche amebainisha kupokea simu nyingi kutoka kwa wanachama wa Chadema na watanzania kwa ujumla wanaotaka kumtumia fedha ili kumpa pole na kumtia moyo kama Kiongozi wa CHADEMA, akiomba wote walioguswa na harakati zake kutuma fedha hizo kwenye akaunti za chama ili kusaidia katika maandalizi ya Mkutano mkuu wa CHADEMA unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
kwahyo watu 30,000 tukichanga 10,000/= tunafikisha kabisa 300,000,000/=. Wazalendo tusaidie chama jamani.