John Magufuli maiden official trip to Kenya

..hapa nilipo moyo unadunda.

..sijui ataongea lugha gani. Kiingereza?? Au Kiswahili?

..natumaini hatatoa lugha za kuudhi na kukejeli kwa wenyeji wake, au kuaibisha nchi na wadhifa wake.

Hayo nimatope ya ufipa kwa wapuuzi tulisha wazoea.
Alisha jisemea niheri achukiwe na wapuuzi 1000 apendwe na werevu 100000
Huyo ndie Rais wetu
Mlietaka awe tulisha waeleza
Haitakuja kutokea yule kuwa Rais never,
Mchukie
Msimpende haita mpunguzia lolote
 

Mkuu hapa Dar kuna barabara ilipewa jina la Mwai Kibaki - I hope mta reciprocate in kind. Ila msimsonge songe na masuala ya ajila - Tanzania tuna shida ya Walimu wa Kingereza na Gikuyu basi.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Wamshangilie na kumsifia anawapa Mt. Kilimanjaro kisha anawaongezea na Ngorongoro yote ili watz wenye wivu mkome kabisa

Kiukweli mlima Kilimanjaro ulikuwa mali ya Kenya - nasikia Wajerumani walio kuwa watawala wa Tanganyika walikubaliana na Waingereza wa Kenya kubadirishana mjini wa Mombasa na Mlima Kilimanjaro - Tanganyika ikawapa Wakenya mji wa Mombasa na Wakenya wakatupatia Mlima Kilimanjaro - ndiyo maana mpaka karibu na Mlima umepinda - sasa sijui kuna ukweli gani kwenye stori za makubaliano ya zilizo kuwa Koloni la Tanganyika/Wajerunani na Koloni la Kenya/Waingereza.
 

Mkuu hata sisi kutokana na ukame uliyo likumba Taifa letu tunaweza kukumbwa na baa la njaa vile vile.
 
Mkuu leta habari tunazsubir ...simba Wa afrika
 
Ataonana na rafiki yake Raila?

That can be tricky.
Magu aki request kumuona BaBa hatumezi kumkataza..... nakumbuka rais wa south korea Geun-hye alipokuja kenya May mwaka huu, alirequest anataka kukutana na Raila ambaye wanajuana kwani washawi kutana mara kadhaa, ikabidi state house imualike raila na wenzake e bila ishu
. kisha badae marais wawili wakasaini mikataba ya nuclear power,konza na lapsset bila shida



hata Obama alipokuja Raila alialikwa
 
Mkuu hapa Dar kuna barabara ilipewa jina la Mwai Kibaki - I hope mta reciprocate in kind. Ila msimsonge songe na masuala ya ajila - Tanzania tuna shida ya Walimu wa Kingereza na Gikuyu basi.

Kuna barabara atazindua, nashauri ipewe jina lape "Magufuli road", tuipige deki, halafu apigiwe mizinga 21 ya kijeshi, haalfu Wakenya tujazane kwa maelfu ili kumlaki kisha tumpe mic aseme......

Baada ya hapo nina uhakika mambo yote mnayoyabana yatanyooka
 
Sitegemei lolote jipya toka kwako tangu mamvi abwagwe kama gunia la mkaa.
 
Hehehe watapatana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…