John Magufuli maiden official trip to Kenya

John Magufuli maiden official trip to Kenya

5c9bfaf983ef2d32470b664fed3c68d9.jpg
[emoji3][emoji3][emoji3]

Jamaa kamfanana Baba yake kweli kweli!! Kitu ambacho unifurahisha zaidi ni kule kuwa karibu na raia wa kawaida, hana majivuno au kujisikia yuko level headed kweli kweli ukiona mtu anapishana kiswahili na Uhuru Kenyatta basi ni rahisi ku guess mkorofi ni nani.
 
Nipo Nairobi tayari kuwaletea yanayojiri live bila chenga na bila upendeleo au upotoshaji..

Itinerary:
* Visit of Edoville dairy plant in Karen
* Nairobi's Southern bypass inauguration
* Hosted to a retreat at Nairobi's state house by Uhuru

From the horse himself..

Wenu,

Geza bin Ulole
(kwa hisani ya JF)
Tunaomba Raisi JPM , aombe akatembelee HOSPITALI KUU ya Nairobi...... Mhe. hebu shtukizia hapo !!
 
Kuna barabara atazindua, nashauri ipewe jina lape "Magufuli road", tuipige deki, halafu apigiwe mizinga 21 ya kijeshi, haalfu Wakenya tujazane kwa maelfu ili kumlaki kisha tumpe mic aseme......

Baada ya hapo nina uhakika mambo yote mnayoyabana yatanyooka

Hiyo ni obvious barabara hiyo itapachikwa jina lake ndiyo maana amealikwa kuifungua - lakini nawatadhalisha msije mkawa carried away kwa kumzonga abarishe mipaka ya Masai Mara ili mu annex Ngorongoro kwa kutoa kisingizio kwamba na sisi tuliwanyanganya Mlima Kilimanjaro - kwani tatizo liko wapi mkiwa Amboseli si Mlima unaonekana wazi wazi tu.
 
Hehehe!! Mlima huwa hatuna haja ya kuufuata maana tayari tunapiga hela hata ukiwa hapo ulipo. Na huwa tunahisi tukiufuata na Wazanzibari watazingua wakitaka Mombasa. Hivyo inabidi ngoma ibaki kuwa droo siku zote. Lakini hata hivyo ukiwa Amboseli mlima unaonekana vizuri na wazungu tunawanyofoa hela balaa wakija kuushangaa.

Sisi hapa tuna ajenda ndefu na ya maana, subiri tumpigie deki kwanza halafu tuone atasema nini.
 
Bukyanagandi, huyo msela ni Babu Owino, an ODM diehard n UON student's President n next Governor of Nairobi! Huyu ndo alianzisha protest ya kukojolea mti wa Obama campus ya Nrb kama asipotia timu ikamfanya Kenyatta amwite kwa majadiliano kutuliza munkari!
 
Back
Top Bottom