Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hivi nyie ni manyang'au au MAKAMAU..??Hehehe!! Hizo sifa akitaka tutampa, hata akitaka tutapiga barabara za Nairobi deki kwa ajili yake, ila kumbuka sisi ni manyang'au, hatufanyi chochote bila malengo. Ukiona tunakupigia barabara deki ukae macho na kuwa makini maana muda usio mrefu utasaini kwenye makaratasi mezani halafu kilio baadaye.
Anyway Magu tunamkaribisha, nimeona kwenye taarifa kwamba atazindua barabara fulani Nairobi na kutembelea viwanda.