John Magufuli maiden official trip to Kenya

John Magufuli maiden official trip to Kenya

..hapa nilipo moyo unadunda.

..sijui ataongea lugha gani. Kiingereza?? Au Kiswahili?

..natumaini hatatoa lugha za kuudhi na kukejeli kwa wenyeji wake, au kuaibisha nchi na wadhifa wake.

Hayo nimatope ya ufipa kwa wapuuzi tulisha wazoea.
Alisha jisemea niheri achukiwe na wapuuzi 1000 apendwe na werevu 100000
Huyo ndie Rais wetu
Mlietaka awe tulisha waeleza
Haitakuja kutokea yule kuwa Rais never,
Mchukie
Msimpende haita mpunguzia lolote
 
Hehehe!! Hizo sifa akitaka tutampa, hata akitaka tutapiga barabara za Nairobi deki kwa ajili yake, ila kumbuka sisi ni manyang'au, hatufanyi chochote bila malengo. Ukiona tunakupigia barabara deki ukae macho na kuwa makini maana muda usio mrefu utasaini kwenye makaratasi mezani halafu kilio baadaye.

Anyway Magu tunamkaribisha, nimeona kwenye taarifa kwamba atazindua barabara fulani Nairobi na kutembelea viwanda.

Mkuu hapa Dar kuna barabara ilipewa jina la Mwai Kibaki - I hope mta reciprocate in kind. Ila msimsonge songe na masuala ya ajila - Tanzania tuna shida ya Walimu wa Kingereza na Gikuyu basi.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Wamshangilie na kumsifia anawapa Mt. Kilimanjaro kisha anawaongezea na Ngorongoro yote ili watz wenye wivu mkome kabisa

Kiukweli mlima Kilimanjaro ulikuwa mali ya Kenya - nasikia Wajerumani walio kuwa watawala wa Tanganyika walikubaliana na Waingereza wa Kenya kubadirishana mjini wa Mombasa na Mlima Kilimanjaro - Tanganyika ikawapa Wakenya mji wa Mombasa na Wakenya wakatupatia Mlima Kilimanjaro - ndiyo maana mpaka karibu na Mlima umepinda - sasa sijui kuna ukweli gani kwenye stori za makubaliano ya zilizo kuwa Koloni la Tanganyika/Wajerunani na Koloni la Kenya/Waingereza.
 
October 31, 2016
Nairobi, Kenya


Ripoti hii ya the Global Hunger Index (GHI) kuhusu ''janga la kulala na njaa'' inaweza kusaidia nchi jirani kuuziana mazao ya chakula kupunguza changamoto hii kwa raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ziara hizi rasmi za kikazi za viongozi wa kisiasa zinaweza kufungua fursa ya masoko ya mazao ya ndani ya Jumuiya ya EAC badala ya kuagiza nafaka toka Brazil. USA n.k

Kenya ranks among 50 hungriest countries in new global food index

Published last week, the Global Hunger Index (GHI), a report from Welthungerhilfe, the International Food Policy Research Institute and Concern Worldwide, shows that Kenya has serious levels of hunger, even as malnutrition is declining around the world.

With a score of 21.9 in Global Hunger Index, Kenya is ranked among the top 50 countries failing to provide their people with enough food.

Kenya is ranked marginally ahead of conflict-prone Iraq which has a score of 22 and is outpaced by Egypt with a score of 13.7 which has in recent years been faced by conflict.

The GHI looks at four parameters to calculate its figures: the proportion of the population that is undernourished, the number of children suffering from wasting (low weight for their age), the number of children suffering from stunting (low height for their age) as well as the mortality rate for children under five. Source: Kenya ranks among 50 hungriest countries in new global food

Mkuu hata sisi kutokana na ukame uliyo likumba Taifa letu tunaweza kukumbwa na baa la njaa vile vile.
 
5c9bfaf983ef2d32470b664fed3c68d9.jpg
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ataonana na rafiki yake Raila?

That can be tricky.
Magu aki request kumuona BaBa hatumezi kumkataza..... nakumbuka rais wa south korea Geun-hye alipokuja kenya May mwaka huu, alirequest anataka kukutana na Raila ambaye wanajuana kwani washawi kutana mara kadhaa, ikabidi state house imualike raila na wenzake e bila ishu
. kisha badae marais wawili wakasaini mikataba ya nuclear power,konza na lapsset bila shida
3-39-300x241.jpg
1-200-300x214.jpg
2-67-300x238.jpg
1-199-300x240.jpg



hata Obama alipokuja Raila alialikwa
135.jpg
obama-raila.jpg
 
Mkuu hapa Dar kuna barabara ilipewa jina la Mwai Kibaki - I hope mta reciprocate in kind. Ila msimsonge songe na masuala ya ajila - Tanzania tuna shida ya Walimu wa Kingereza na Gikuyu basi.

Kuna barabara atazindua, nashauri ipewe jina lape "Magufuli road", tuipige deki, halafu apigiwe mizinga 21 ya kijeshi, haalfu Wakenya tujazane kwa maelfu ili kumlaki kisha tumpe mic aseme......

Baada ya hapo nina uhakika mambo yote mnayoyabana yatanyooka
 
..hujamsikia akiita meli, " mameli " ??

..tatizo lake lingine ni kutoa matamshi yasiyofaa na yanayodhalilisha nafasi ya raisi.

..Kwa mfano ile kauli yake ya watu wazaane kwa wingi kwani watasoma bure. Then three months later anadai hana hela za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu.
Sitegemei lolote jipya toka kwako tangu mamvi abwagwe kama gunia la mkaa.
 
Magu aki request kumuona BaBa hatumezi kumkataza..... nakumbuka rais wa south korea Geun-hye alipokuja kenya May mwaka huu, alirequest anataka kukutana na Raila ambaye wanajuana kwani washawi kutana mara kadhaa, ikabidi state house imualike raila na wenzake e bila ishu
. kisha badae marais wawili wakasaini mikataba ya nuclear power,konza na lapsset bila shida
View attachment 427020 View attachment 427021 View attachment 427018 View attachment 427019


hata Obama alipokuja Raila alialikwa
View attachment 427034 View attachment 427035
Hehehe watapatana tu
 
Back
Top Bottom