John Magufuli maiden official trip to Kenya

[emoji3][emoji3][emoji3]

Jamaa kamfanana Baba yake kweli kweli!! Kitu ambacho unifurahisha zaidi ni kule kuwa karibu na raia wa kawaida, hana majivuno au kujisikia yuko level headed kweli kweli ukiona mtu anapishana kiswahili na Uhuru Kenyatta basi ni rahisi ku guess mkorofi ni nani.
 
Tunaomba Raisi JPM , aombe akatembelee HOSPITALI KUU ya Nairobi...... Mhe. hebu shtukizia hapo !!
 

Hiyo ni obvious barabara hiyo itapachikwa jina lake ndiyo maana amealikwa kuifungua - lakini nawatadhalisha msije mkawa carried away kwa kumzonga abarishe mipaka ya Masai Mara ili mu annex Ngorongoro kwa kutoa kisingizio kwamba na sisi tuliwanyanganya Mlima Kilimanjaro - kwani tatizo liko wapi mkiwa Amboseli si Mlima unaonekana wazi wazi tu.
 

Hehehe!! Mlima huwa hatuna haja ya kuufuata maana tayari tunapiga hela hata ukiwa hapo ulipo. Na huwa tunahisi tukiufuata na Wazanzibari watazingua wakitaka Mombasa. Hivyo inabidi ngoma ibaki kuwa droo siku zote. Lakini hata hivyo ukiwa Amboseli mlima unaonekana vizuri na wazungu tunawanyofoa hela balaa wakija kuushangaa.

Sisi hapa tuna ajenda ndefu na ya maana, subiri tumpigie deki kwanza halafu tuone atasema nini.
 
Bukyanagandi, huyo msela ni Babu Owino, an ODM diehard n UON student's President n next Governor of Nairobi! Huyu ndo alianzisha protest ya kukojolea mti wa Obama campus ya Nrb kama asipotia timu ikamfanya Kenyatta amwite kwa majadiliano kutuliza munkari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…