Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hivi nyie ni manyang'au au MAKAMAU..??Hehehe!! Hizo sifa akitaka tutampa, hata akitaka tutapiga barabara za Nairobi deki kwa ajili yake, ila kumbuka sisi ni manyang'au, hatufanyi chochote bila malengo. Ukiona tunakupigia barabara deki ukae macho na kuwa makini maana muda usio mrefu utasaini kwenye makaratasi mezani halafu kilio baadaye.
Anyway Magu tunamkaribisha, nimeona kwenye taarifa kwamba atazindua barabara fulani Nairobi na kutembelea viwanda.
Rubbish, Mao wa China aliwatuliza watu wa karba yakoNi wachache sana watakuelewa kwa hili...
Anko akileta zile za kutafuta maujiko, wallah nyie manyang'au lazima mtulize...
Naombea awe ameandaliwa speech maana hachelewi kuwaazima mlima Kilimanjaro mkimpigia vigelegele na kumpa maujiko.
Eee Mungu tusaidie...
Ngoja aombe msaada ....chill mse!!umewaona wa uafalafala wakikatiza Sammuel999 🙄
try and keep it civilNaskia gari ya Magufuli iliishiwa mafuta akaamua kutembea mpaka ikulu ya UHURU
Go to page 1 the third comment uone nani aliharibu thread.....civil wataonea kwa screen ya mbaotry and keep it civil
Kuchelewa kote ilibidi ku refuel KIA ndio kuunganisha hadi "nusu london"Ndio maana kachelewa kumbe bombadier imehusika?
Tuhabarishwe kama bombadier ilikodiwa ama ina safari za dar nairobi.