John Malecela: Sioni Hoja ya Wanaopinga Uwekezaji wa DP World Bandarini

Kwanini unamtukanisha mzee. Na atatukanwa na kudharaulika mno. Waacheni wapumzike
Mkuu,kwanini mtu amtukane mzee wa watu? au yeye hakupaswa kutumia uhuru wake wa kutoa maoni?


Kila siku humu watu wanalilia uhuru wa kutoa maoni ila mtu akitoa maoni ambayo wao hayawapendezi wanaishia kumtukana! huo ndio uhuru wa maoni?
 
Mzee kasema ukweli! Wengi wanasumbuliwa na chuki, wivu na udini tu. Hawana hoja kabisa wachache makuwadi wa wakenya wanaotaka bandari zetu zisiwe vizuri
-kwamba DPworld apewe bandari zote hata za ziwani
-kwamba mkataba ni wakudumu bila ukomo mpaka kazi zitakapo Isha
-kwamba haturuhusiwi kuingia mkataba na wengine bila kibari cha dp world
-mzee hapa anaona ni sawa
 
Walking dead, watu ubongo unaoza huku wakihema, kumbe bora wasiheme ubongo ukiwa hai.
 
-kwamba DPworld apewe bandari zote hata za ziwani
-kwamba mkataba ni wakudumu bila ukomo mpaka kazi zitakapo Isha
-kwamba haturuhusiwi kuingia mkataba na wengine bila kibari cha dp world
-mzee hapa anaona ni sawa
Wapi imeandikwa hivyo?
 
Kila mtu anataka uwekezaji wa bandari ila tunataka mkataba unaoonyesha waarabu wataendesha bandari muda gani. Siyo kuwa silent. Pia vifungu vingine vijadiliwe
 
Kwanza mzee mwenyewe ni Dakika ya 87 muda wwte game kwishine. Asitupangie wengine ni Dakika ya 13 ya mchezo.
Tunataka Bandari yetu
 
Mzee Pumzika kula Pensheni yako haya Mengine yaacheni yapite
 
Huyu si ndo alibadil Dini kuwa muislamu Ili mradi awe Raisi...siyo wazee wote Wana busara..
HuwezI ukaenda Msoga kupata ushauri afu urudi na kitu cha Maana
Nimecheka sana,maana yake nikuwa hata wahuni wanazeeka. Mfano hata chi Benz kuna siku atazeeka,hata Gardiner Habash atazeeka,hata Bashite atazeeka,hata Sabaya atazeeka
 
Angekufa huyu mzee akabaki yule kijana wake.
 


Ndugu Jumanne na Bwana Aziz
 
Wazee kama awa ni wa kuupuuza kwanza hawana miaka 20 mbele,
 
Ila Warioba,Butiku,Slaa wanazaidi ya miaka 20 mbele?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hawezi fika ndo maana wanatafuta namna ya kuliokoa taifa kwa vizazi vyao vijavyo, na uzee unatofautiana kuna wazee mpaka kaburin akili inafanya kazi na anayo meno yote , wengine huwa kama toto na vibogoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…