John Malecela: Sioni Hoja ya Wanaopinga Uwekezaji wa DP World Bandarini

Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Malecela ametoa kauli kuhusu sakata la makubaliano ya uwekezaji wa bandari nchini na Serikali ya Dubai kupitia Kampuni ya Dubai Port World (DPW).

Malecela ametoa kauli hiyo leo Jumapili Juni 25, 2023 baada ya kuulizwa swali kuhusiana na uwekezaji huo unaohusisha Serikali hizo mbili.

Malecela amesema haoni shida ya uwekezaji huo na amewashangaa wanaopinga akisema ndio demokrasia inavyowaruhusu.

"Kwanza wako wachache wanaopinga na sioni hoja yao," amesema Malecela ambaye ni Waziri Mkuu wa saba wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Jaji Joseph Warioba.

Leo, Malecela amekutana na waandishi wa habari nyumbani kwake eneo la Kilimani jijini Dodoma akielezea kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo unaotanywa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Mwananchi
Watu wazuri huwa hawaishi.
 
Hakuna mtu atamtukana ila tunaheshimu mawazo yake na yeye vile vile aheshimu mawazo ya wengi wanaopinga.Hii ni Nchi yetu sote.
We huwezi sema unamheshimu Kwa kumuita Jumanne..unajaribu Ku insinuate kuwa na yeye ni Muislam ndo maana ananunga mkono??
 
Nimemwita Jumanne baada ya kusoma comment ya mdau na nikakumbuka enzi zile za kuutaka Urais. Lakini pia John na Jumanne si ni sawa kama ilivyo kwa Maria na Mariam?

Kama kuna mtu kwa sasa anajenga hoja zake za kuunga mkono kila kitu cha awamu hii hata kama pana tatizo akisukumwa na Udini wewe ni mmojawapo.
 
John sio Jumanne...na unajua....
Kila awamu ipo vitu napinga na ipo vitu naunga mkono...
Inawezekana nnavyopinga awamu hii sivisemi hadharani lakini hiyo haimaanishi naunga mkono kila kitu
Hata Magufuli yapo mengi nilimuunga mkono mengine sikusema hadharani
Awamu hii inashambuliwa Kwa dini ...Mimi napambana na Hilo... tofautisha kuunga mkono Kwa dini na kupinga kushambuliwa Kwa dini..
 
Wewe ni mdini pure na hilo wala halihitaji rocket science kulifahamu.Tuvumilieni tu tunaokosoa maana tuna nia njema na Nchi yetu pia.
 
Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Malecela ametoa kauli kuhusu sakata la makubaliano ya uwekezaji wa bandari nchini na Serikali ya Dubai kupitia Kampuni ya Dubai Port World (DPW).

Malecela ametoa kauli hiyo leo Jumapili Juni 25, 2023 baada ya kuulizwa swali kuhusiana na uwekezaji huo unaohusisha Serikali hizo mbili.

Malecela amesema haoni shida ya uwekezaji huo na amewashangaa wanaopinga akisema ndio demokrasia inavyowaruhusu.

"Kwanza wako wachache wanaopinga na sioni hoja yao," amesema Malecela ambaye ni Waziri Mkuu wa saba wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Jaji Joseph Warioba.

Leo, Malecela amekutana na waandishi wa habari nyumbani kwake eneo la Kilimani jijini Dodoma akielezea kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo unaotanywa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Mwananchi
Na ninyi waandishi achaneni na Hawa wazee wapumzike kwani majibu Yao hayaendani na nyakati za Sasa na tuendako!
Kinacholiliwa hapa ni mkataba na mbovu hakieleweki walikaa wakakubaliana au walisaini Ile kurasa ya mwisho bila kujua kilichomo ndani.

Ingelikuwa vizuri mkamwendea Mwanasheria Mkuu wa Serikali alete majawabu kama na yeye alisoma huo mkataba na makubaliano na akauafiki na kuukubali kwa manufaa yapi!
Kimya chake kinaleta ukakasi na wasije wakamlazimisha kukubaliana na hili kwa maana CCM ni nyokaah!!
 
Sasa mtu aliyeshindwa na Kibajaji kwenye kura za maoni unaweza kumchukulia serious?.

Mtu ambaye baba wa Taifa alisema kuwa kama jona la John limo kwenye orodha ya wagonbea narudisha kadi ya CCM, huyo wa kumuamini?
 
Haya sasa kuna uzi humu kuna mtu alikuwa anamulizia mzee malecela,mbona yuko kimya sakata la
Bandari [emoji1] haya kawajibu!
Any way,huyu mzee nlimshqmangaa
Kwann alitoa kiwanda cha kusindika
Zabibu huko dodoma na akahihamishia mbeya mpaka leo sijapata,majibu

Ova
Zabibu zipo dom yeye kapeleka kiwanda mbeya 😂
 
Kila mara nasema humu, uvccm hujidai wanauelewa mpana san kuhusu masuala ya mikataba kuliko wanasheria ambao wote wanasema ile ni mkataba!! Hongeren san kwa utaalam wenu juu ya mikataba ya kimataifa.
Kiumri sikidhi kuwa uvccm,sijawahi kuwa
 
Aboubakari Malecela...Huyu alidharauliwa sana na Nyerere hana jipya huyu. Alichambwa Mbeya kwenye sherehe za Mei mosi 1995. Hakuna mtu anapinga hao ndugu zako kuja ila mkataba uwe wazi na makandokando yatoke.
 
Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Malecela ametoa kauli kuhusu sakata la makubaliano ya uwekezaji wa bandari nchini na Serikali ya Dubai kupitia Kampuni ya Dubai Port World (DPW).

Malecela ametoa kauli hiyo leo Jumapili Juni 25, 2023 baada ya kuulizwa swali kuhusiana na uwekezaji huo unaohusisha Serikali hizo mbili.

Malecela amesema haoni shida ya uwekezaji huo na amewashangaa wanaopinga akisema ndio demokrasia inavyowaruhusu.

"Kwanza wako wachache wanaopinga na sioni hoja yao," amesema Malecela ambaye ni Waziri Mkuu wa saba wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Jaji Joseph Warioba.

Leo, Malecela amekutana na waandishi wa habari nyumbani kwake eneo la Kilimani jijini Dodoma akielezea kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo unaotanywa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Mwananchi
Endeleeni kuwafuata wastaafu na vyombo vya habari mawazo yao yashawishi kuhalalisha mkataba wa hovyo.

ChoiceVariable, je, umefikiria hatima ya utajiri wetu wa mafuta na gesi, kwenye ukanda wa bahari ukimilikiwa na Kampuni ya Dubai ambayo CEO wake ndiye Sultani wa falme hiyo?
 
Nashangaa Hata warioba au mwinyi siyo wa kuilizwa Jambo kama hili... Ni sawa na kumlazimisha mgonjwa mahututi kuandika wosia
Toka lini huyu mzee akamuonea huruma mtu wa kawaida au vijana wa jana mumesahau alipokuwa waziri wa mawasiliano wakati Wagogo wenzake walikuwa wanalalamikia shirika la reli na jibu alilolitoa hadi akaondolewa uwaziri? aliwaambia waende kuzimu, kama alishindwa kumsaidia mwanae wa kumzaa Le Mutuz sembuse atetee bandari?
 
Wakatoliki kwenu kila mtu mdini kasoro nyinyi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vumilieni tu watu wakosoe,hakuna namna mtafanya kila mtu aitikie hewala.[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom