Hili jambo halina dini.kwamba wanounga mkataba wa kipumbavu wao hawako katika dini au sijakuelewa. Tuambie msukuma ni dini gani?
Muhimu ni kujua kwamba asilimia kubwa ya wanasiasa kwenye nchi masikini ni watu wanaopenda dezo, wasioweza kuishi bila kutegemea jasho la walalahoi.
Kwa maneno mengine, wanasiasa wengi, siyo wote, hawana tofauti na malaya (machangudoa), hivyo siyo watu wa kutegemea sana kwenye mambo ya msingi ya nchi.
Kwa bahati mbaya, siasa zetu siku hizi zimeelekea zaidi kwa watu wa aina za kujikomba zaidi, waigizaji ambao kiasili hawana integrity.
Hata hivyo, maoni haya ni ya jumla kwa kizazi hiki na hayamjamlenga Mheshimiwa Mzee Malecela.