John Malecela: Sioni Hoja ya Wanaopinga Uwekezaji wa DP World Bandarini

John Malecela: Sioni Hoja ya Wanaopinga Uwekezaji wa DP World Bandarini

Calibre yake unategemea apinge huo muswada? Wazee ambao ni realest.... WARIOBA, BUTIKU, na aina zao. Hawa ndio wazalendo halisi!!!
Malecela na Warioba haziivi tangu miaka ya tisini walipokosana issue ya urais. Hivyo ilikuwa lazima azungumze tofauti na Warioba kuhusu issue ya bandari.
 
Mwana-Dawati la Propaganda la "wa Kijitonyama Makumbusho", hongera zako kwa kazi ngumu uliyopewa ya "kupaka rangi upepo" ili ku-divert attention za raia ili kumlinda sponsor wenu na makombora mazito ya DPW.

Quote Reply
Report Edit Delete
Reactions:ChoiceVariable
Umeanza kunifahamu lini? Leo hii nimegeuka kuwa mwanadawati wa makumbusho?

Ndo mana tukisema hamuna hoja hatukosei kweli maana nyie pinga pinga wote mmejaa ujinga ujinga tu
 
Bwana Jumanne John
huyu Nyerere alikua hamtaki kabisa ndio alijiita J4 ha ha ha nchi imepitia mambo hii nyie tangu enzi na enzi ujinga wa ajabu ulikuepo..
 
Malecela na Warioba haziivi tangu miaka ya tisini walipokosana issue ya urais. Hivyo ilikuwa lazima azungumze tofauti na Warioba kuhusu issue ya bandari.
Kwa hiyo akizungumza malecela kasema kwa kuwa Warioba kasema ila akizungumza warioba amezungumza kwa sababu gani?
 
Friends and Enemies,

Katika kile kinachoonekana kuwa ni mwendelezo wa maoni ya watu wanaojitambua kuhusu sakata la mkataba wa bandari, waziri Mkuu mstaafu ndug John MALECELA katika taarifa ya habari ya usiku huu kupitia Azam Tv,amewataka wananchi kuwapuuzq wapotoshaji na kuwa na Iman na serikali Yao,amesisitiza kuwa wengi WANAOPOTOSHA na hawazungumzi Kwa Nia njema ya uzalendo.

My take : kadiri muda unavyozid kwenda mchele unaanza kujitenga na pumba, hongera sana Mzee MALECELA hakika wewe ni tunu ya Taifa tofauti na wazee hovyo kama kadinali PENGO.
 

84906D0A-98F2-4A9E-9784-60E058164F33.jpeg
 
Nani kasema bandari imeuzwa hapana bandari haijauza imeazimwa kwa waarabu hofu ni hii wataanza utumwa kama zamani nanani anataka kuwa mtumwa tena mtawekwa kwenye macontenna nani ataona naniwao wapo juu kiungozi wao ndio wakuu wa mabandari
 
Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Malecela ametoa kauli kuhusu sakata la makubaliano ya uwekezaji wa bandari nchini na Serikali ya Dubai kupitia Kampuni ya Dubai Port World (DPW).


Malecela ametoa kauli hiyo leo Jumapili Juni 25, 2023 baada ya kuulizwa swali kuhusiana na uwekezaji huo unaohusisha Serikali hizo mbili.

Malecela amesema haoni shida ya uwekezaji huo na amewashangaa wanaopinga akisema ndio demokrasia inavyowaruhusu.

"Kwanza wako wachache wanaopinga na sioni hoja yao," amesema Malecela ambaye ni Waziri Mkuu wa saba wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Jaji Joseph Warioba.

Leo, Malecela amekutana na waandishi wa habari nyumbani kwake eneo la Kilimani jijini Dodoma akielezea kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo unaotanywa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Mwananchi
Msaada wa Mazishi ya Le Mutuz umemfanya mzee ajing'oe ubongo !
 
Kila mara nasema humu, uvccm hujidai wanauelewa mpana san kuhusu masuala ya mikataba kuliko wanasheria ambao wote wanasema ile ni mkataba!! Hongeren san kwa utaalam wenu juu ya mikataba ya kimataifa.
Mkataba umesainiwa lini!?..hakuna mkataba Bali Kuna makubaliano baina ya serikali mbili, mkataba wa kitendaji utaingiwa baina ya TPA na DP world
 
Back
Top Bottom