John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri MAGOGONI

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri.

Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8, mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.

Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani

Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.

Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%

Inasemekana ndie General ajae

Picha yake inakuja,

Inaendelea....
 
John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,

Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.

Upuuzi tu kasaidia nini nchi kama nchi tukiachana na maslahi ya wanasiasa?

Vyombo vyetu visaidie nchi sio watu walioko madarakani

Watu wa vyombo mko humu najua mnasoma comment za JF saidieni nchi, saidieni future ya nchi dhidi ya wahuni na walaji walioko kwenye mamlaka mbalimbali za serikali
 
John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,

Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.

Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani

Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.

Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%

Inasemekana ndie General ajae

Picha yake inakuja,

Inaendelea....
Umri wake unakataza yeye kuwa CDF,35yrs old?
 
John Mduma mwenye umri wa miaka 35 ndio mlinzi pekee alieaminiwa na serikali za awamu zote 6? Mtu mwenye umri wa miaka 35, ina maana amezaliwa mwaka 87 wakati huo raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa mzee wetu mzee Ally Hassani Mwinyi. Sasa hiyo awamu ya kwanza ambapo alikuwa hajazaliwa aliaminiwa vipi, awamu ya pili Mwinyi aling'atuka Mduma akiwa na miaka 8 pia aliaminika vipi? Awamu ya tatu je? Endelea kuvuta lkn angalia cha ukucha kisikubabue vidole.
 
Kama ana miaka 35, atakuwa alizaliwa mwaka 1987 na kukuta awamu ya kwanza imeng'atuka.

ameanza kazi akiwa na miaka 8, itakuwa 1995 kama ni kusoma baraza litakuwa la awamu ya tatu.

wewe jamaa unatumia vigezo gan kudanganya wana nkololo hapa jamvini.
 
John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,

Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.

Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani

Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.

Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%

Inasemekana ndie General ajae

Picha yake inakuja,

Inaendelea....
Wacha kuharibia wenzio wewe!
 
Kama ana miaka 35, atakuwa alizaliwa mwaka 1987 na kukuta awamu ya kwanza imeng'atuka.

ameanza kazi akiwa na miaka 8, itakuwa 1995 kama ni kusoma baraza litakuwa la awamu ya tatu.

wewe jamaa unatumia vigezo gan kudanganya wana nkololo hapa jamvini.
Uzi ulioletwa na tilia tila wala halijua linachoongea!
 
Kama ana miaka 35, atakuwa alizaliwa mwaka 1987 na kukuta awamu ya kwanza imeng'atuka.

ameanza kazi akiwa na miaka 8, itakuwa 1995 kama ni kusoma baraza litakuwa la awamu ya tatu.

wewe jamaa unatumia vigezo gan kudanganya wana nkololo hapa jamvini.
Bangi mbaya labda asema ni li mzimu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kama ana miaka 35, atakuwa alizaliwa mwaka 1987 na kukuta awamu ya kwanza imeng'atuka.

ameanza kazi akiwa na miaka 8, itakuwa 1995 kama ni kusoma baraza litakuwa la awamu ya tatu.

wewe jamaa unatumia vigezo gan kudanganya wana nkololo hapa jamvini.
Kweli wewe ni statistics.
 
Back
Top Bottom