Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Nadhani hutarudi tena upuuzi wako huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaendelea porojo au kazi ndo iendelee?"John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6", Inaendelea....
Huyu itakuwa kapewa kile kilichochangwa na mavi ya mbuzi.John Mduma mwenye umri wa miaka 35 ndio mlinzi pekee alieaminiwa na serikali za awamu zote 6? Mtu mwenye umri wa miaka 35, ina maana amezaliwa mwaka 87 wakati huo raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa mzee wetu mzee Ally Hassani Mwinyi. Sasa hiyo awamu ya kwanza ambapo alikuwa hajazaliwa aliaminiwa vipi, awamu ya pili Mwinyi aling'atuka Mduma akiwa na miaka 8 pia aliaminika vipi? Awamu ya tatu je? Endelea kuvuta lkn angalia cha ukucha kisikubabue vidole.
Picha.John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,
Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.
Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani
Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.
Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%
Inasemekana ndie General ajae
Picha yake inakuja,
Inaendelea....
Hata mimi naisubiliPicha umeiacha wapi yakusindikizia Uzi?
Pambaf!John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,
Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.
Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani
Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.
Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%
Inasemekana ndie General ajae
Picha yake inakuja,
Inaendelea....
Aisee hapa umemaliza kila kitu. Na akirudi kujibu maswali yako nitag.John Mduma mwenye umri wa miaka 35 ndio mlinzi pekee alieaminiwa na serikali za awamu zote 6? Mtu mwenye umri wa miaka 35, ina maana amezaliwa mwaka 87 wakati huo raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa mzee wetu mzee Ally Hassani Mwinyi. Sasa hiyo awamu ya kwanza ambapo alikuwa hajazaliwa aliaminiwa vipi, awamu ya pili Mwinyi aling'atuka Mduma akiwa na miaka 8 pia aliaminika vipi? Awamu ya tatu je? Endelea kuvuta lkn angalia cha ukucha kisikubabue vidole.
Acha uongo miaka 8? Na ajira akipata serikaliniJohn Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,
Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.
Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani
Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.
Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%
Inasemekana ndie General ajae
Picha yake inakuja,
Inaendelea....
Aina noma mkuu.Aisee hapa umemaliza kila kitu. Na akirudi kujibu maswali yako nitag.
Umri wake unakataza yeye kuwa CDF,35yrs ol
Atakuwa general wanini kama elimuyake haijulikani.John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,
Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.
Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani
Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.
Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%
Inasemekana ndie General ajae
Picha yake inakuja,
Inaendelea....
Ninakubaliana nawe, mkuu.Upuuzi tu kasaidia nini nchi kama nchi tukiachana na maslahi ya wanasiasa?
Vyombo vyetu visaidie nchi sio watu walioko madarakani
Watu wa vyombo mko humu najua mnasoma comment za JF saidieni nchi, saidieni future ya nchi dhidi ya wahuni na walaji walioko kwenye mamlaka mbalimbali za serikali
Hata mtoto wa Malaika hawezi kuanza kazi akiwa na miaka 8. Mleta mada ni chenga sana.Kama ana miaka 35, atakuwa alizaliwa mwaka 1987 na kukuta awamu ya kwanza imeng'atuka.
ameanza kazi akiwa na miaka 8, itakuwa 1995 kama ni kusoma baraza litakuwa la awamu ya tatu.
wewe jamaa unatumia vigezo gan kudanganya wana nkololo hapa jamvini.
Elewa codeUmri wake unakataza yeye kuwa CDF,35yrs old?
Mzee unajitahidi kutohoa.John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,