John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,
Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.
Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani
Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.
Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%
Inasemekana ndie General ajae
Picha yake inakuja,
Inaendelea....
Hana picha huyo,na Kama ataleta Ni ya yule RasNpo mbele apa
Umri wake unakataza yeye kuwa CDF,35yrs old?John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,
Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.
Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani
Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.
Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%
Inasemekana ndie General ajae
Picha yake inakuja,
Inaendelea....
Kama aliweza kuwa mlinzi akiwa na 8 yes,Umri wake unakataza yeye kuwa CDF,35yrs old?
John Mduma mwenye umri wa miaka 35 ndio mlinzi pekee alieaminiwa na serikali za awamu zote 6? Mtu mwenye umri wa miaka 35, ina maana amezaliwa mwaka 87 wakati huo raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa mzee wetu mzee Ally Hassani Mwinyi. Sasa hiyo awamu ya kwanza ambapo alikuwa hajazaliwa aliaminiwa vipi, awamu ya pili Mwinyi aling'atuka Mduma akiwa na miaka 8 pia aliaminika vipi? Awamu ya tatu je? Endelea kuvuta lkn angalia cha ukucha kisikubabue vidole.John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,
Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.
Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani
Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.
Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%
Inasemekana ndie General ajae
Picha yake inakuja,
Inaendelea....
Wacha kuharibia wenzio wewe!John Mduma,mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6,Muuza samaki Feri,
Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8,mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi.
Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia ya elimu yake haijulikani
Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.
Ukiona Far ipo salama huyu jamaa anamchango wake 89%
Inasemekana ndie General ajae
Picha yake inakuja,
Inaendelea....
Uzi ulioletwa na tilia tila wala halijua linachoongea!Kama ana miaka 35, atakuwa alizaliwa mwaka 1987 na kukuta awamu ya kwanza imeng'atuka.
ameanza kazi akiwa na miaka 8, itakuwa 1995 kama ni kusoma baraza litakuwa la awamu ya tatu.
wewe jamaa unatumia vigezo gan kudanganya wana nkololo hapa jamvini.
Bangi mbaya labda asema ni li mzimuKama ana miaka 35, atakuwa alizaliwa mwaka 1987 na kukuta awamu ya kwanza imeng'atuka.
ameanza kazi akiwa na miaka 8, itakuwa 1995 kama ni kusoma baraza litakuwa la awamu ya tatu.
wewe jamaa unatumia vigezo gan kudanganya wana nkololo hapa jamvini.
Kweli wewe ni statistics.Kama ana miaka 35, atakuwa alizaliwa mwaka 1987 na kukuta awamu ya kwanza imeng'atuka.
ameanza kazi akiwa na miaka 8, itakuwa 1995 kama ni kusoma baraza litakuwa la awamu ya tatu.
wewe jamaa unatumia vigezo gan kudanganya wana nkololo hapa jamvini.
Kumbe hafai huyu Mduma. Kama alimthibitishia rais kuwa Mwigulu anafaa kuwa waziri wa fedha!!!Ndie kijana pekee anaemthibitishia Rais cabinet aitangazayo ipo makini.