Pre GE2025 John Mnyika adai kuna hujuma za kuyumbisha harakati za 'No Reforms No Election' kufuatia pingamizi la uteuzi wa vigogo nane CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
naona timbwili la utekaji likirejea wakati wa uteuzi wa mgombea urais, wabunge, madiwani na viti maalumu ndani ya chadema ikiwa hata katibu mkuu ameanza kupiga mayowe ya uhujuma mapema hivi šŸ’
Wewe mgombea wako wa urais 2025 alichukua fomu wapi ? Kwa nini apitishwe bila kufuata utaratibu?
Uko busy kufuatilia mambo ya chadema wakati ndani kwako ccm kunawaka moto!!!
 
Hao timu mbowe kama wanaijua sana katiba,wajiunge na ccm. Wakiwa humo ccm wahoji namna mgombea urais 2025 wa ccm alivyopatikana kama ni halali au la kwa mujibu wa katiba ya ccm. Wao walishaona wapi mgombea urais anapitishwa bila kuchukua fomu!!!,waende wakahoji haya ndani ya ccm.
nje ya mada hapo yanjadiriwa ya chadema ya ccm yanatoka wapi? chadem inaendakuharibika soon
 
binafsi nilisema mapema kwamba,
kwa aina ya kampeni za chuki uhasama na mgawanyiko ilivyokua kabla ya uchaguzi,

yeyote atakaeshinda uenyekiti wa Chadema uchaguzi huo, atahujumiwa vilivyo katika kila agenda na mpango mkakati wa kua relevant katika medani ya siasa ya Tanzania.

Na huo ni mwanzo tu,
kwenye uteuzi wa mgombea urais, wabunge, madiwani na viti maalumu timbwili litakua ni noma zaid šŸ’
Hakuna kitu wewe fisi tope.
 
Wewe mgombea wako wa urais 2025 alichukua fomu wapi ? Kwa nini apitishwe bila kufuata utaratibu?
Uko busy kufuatilia mambo ya chadema wakati ndani kwako ccm kunawaka moto!!!
mbona weo gentleman,

zingatia hoja mahususi mezani bas šŸ’
 
Chadema imeanza rasmi safari ya kujifia kama ilivyokua TLP na CUF. Ni suala la muda tu. Huenda hata uchaguzi mkuu wasishiriki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndo mnavyojidanganya?

Kweli CCM ni wajinga sana
 
Ningekuwa Lissu ningewatimua mamluki wa Mbowe wote ndani ya chama ili nikinyooshe chama

Kuishi kiccm ndani ya chadema ni ujinga Sana

Lissu safisha nyumba kwanza mpini umeshika wewe leta watu potential ndani ya chama achana na Wala pesa Abdul na Samia!!
 
Chadema imeanza rasmi safari ya kujifia kama ilivyokua TLP na CUF. Ni suala la muda tu. Huenda hata uchaguzi mkuu wasishiriki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nadhani huna maana, kuna wengine walishasema hivo, wao ndio wakafa kabla mapema kuliko muda waioutabili chadema kufa..utakufa wewe kwanza na chadema itafuatia
 
Tundu Lisu aonyeshe ukomavu na uvumilivu ili kumaliza changamoto za aina hii kama alivyokuwa mtanguizi wake.
Kama kuna wana Chadema wana hoja wasibezwe, wasikilizwe ili chama kiende mbele.
 
Sultan Mbowe katulia pembeni anawatuma watwana wake ili kuhalalaisha zile 12b alizopewa na mama Abdul
 
binafsi nilisema mapema kwamba,
kwa aina ya kampeni za chuki uhasama na mgawanyiko ilivyokua kabla ya uchaguzi,

yeyote atakaeshinda uenyekiti wa Chadema uchaguzi huo, atahujumiwa vilivyo katika kila agenda na mpango mkakati wa kua relevant katika medani ya siasa ya Tanzania.

Na huo ni mwanzo tu,
kwenye uteuzi wa mgombea urais, wabunge, madiwani na viti maalumu timbwili litakua ni noma zaid šŸ’
Kampeni za kujazana chuki na kwenda kwenye media kuongeleana bila staha zimeleta mpasuko ndani ya chama, maamuzi ya 56% ya baraza kuu yanaweza kuwa halali, ila siyo jambo la kujivunia.

Jitihada kubwa baada ya uchaguzi zingeenda kwenye kukiunganisha tena chama na wagombea wote kukaa mezani, kuombana msamaha na kutoa maazimio ya pamoja ili kuvunja makundi. Ila Ego na mamluki wa kila upande wamewatia upofu viongozi wetu.

Ukirudi kwenye historia utaona "Ego ndiyo downfall ya wanasiasa wengi duniani", ni wakati wa kuweka hisia pembeni na kujitafakari.
 
Chadema imeanza rasmi safari ya kujifia kama ilivyokua TLP na CUF. Ni suala la muda tu. Huenda hata uchaguzi mkuu wasishiriki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee Mbowe alaaniwe aisee ,kungania madaraka imesababisha hiki chama kuonekana ni cha ovyo san
 
Wewe mgombea wako wa urais 2025 alichukua fomu wapi ? Kwa nini apitishwe bila kufuata utaratibu?
Uko busy kufuatilia mambo ya chadema wakati ndani kwako ccm kunawaka moto!!!
Mwehu vuyo. Achana naye atakuumiza kichwa mkuu.
 
Kampeni za kujazana chuki na kwenda kwenye media kuongeleana bila staha zimeleta mpasuko ndani ya chama, maamuzi ya 56% ya baraza kuu yanaweza kuwa halali, ila siyo jambo la kujivunia.

Jitihada kubwa baada ya uchaguzi zingeenda kwenye kukiunganisha tena chama na wagombea wote kukaa mezani, kuombana msamaha na kutoa maazimio ya pamoja ili kuvunja makundi. Ila Ego na mamluki wa kila upande wamewatia upofu viongozi wetu.

Ukirudi kwenye historia utaona "Ego ndiyo downfall ya wanasiasa wengi duniani", ni wakati wa kuweka hisia pembeni na kujitafakari.
dah,
very matured comment of the day,
naona u-miongoni mwa Political Science graduates wenye gpa za4.5 kabisa.
well done Mshangazi dot com :KasugaYeah::JustClap:
 
Back
Top Bottom