Pre GE2025 John Mnyika adai kuna hujuma za kuyumbisha harakati za 'No Reforms No Election' kufuatia pingamizi la uteuzi wa vigogo nane CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
naona timbwili la utekaji likirejea wakati wa uteuzi wa mgombea urais, wabunge, madiwani na viti maalumu ndani ya chadema ikiwa hata katibu mkuu ameanza kupiga mayowe ya uhujuma mapema hivi 🐒
Wewe mgombea wako wa urais 2025 alichukua fomu wapi ? Kwa nini apitishwe bila kufuata utaratibu?
Uko busy kufuatilia mambo ya chadema wakati ndani kwako ccm kunawaka moto!!!
 
nje ya mada hapo yanjadiriwa ya chadema ya ccm yanatoka wapi? chadem inaendakuharibika soon
 
Hakuna kitu wewe fisi tope.
 
Wewe mgombea wako wa urais 2025 alichukua fomu wapi ? Kwa nini apitishwe bila kufuata utaratibu?
Uko busy kufuatilia mambo ya chadema wakati ndani kwako ccm kunawaka moto!!!
mbona weo gentleman,

zingatia hoja mahususi mezani bas 🐒
 
Chadema imeanza rasmi safari ya kujifia kama ilivyokua TLP na CUF. Ni suala la muda tu. Huenda hata uchaguzi mkuu wasishiriki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndo mnavyojidanganya?

Kweli CCM ni wajinga sana
 
Ningekuwa Lissu ningewatimua mamluki wa Mbowe wote ndani ya chama ili nikinyooshe chama

Kuishi kiccm ndani ya chadema ni ujinga Sana

Lissu safisha nyumba kwanza mpini umeshika wewe leta watu potential ndani ya chama achana na Wala pesa Abdul na Samia!!
 
Chadema imeanza rasmi safari ya kujifia kama ilivyokua TLP na CUF. Ni suala la muda tu. Huenda hata uchaguzi mkuu wasishiriki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nadhani huna maana, kuna wengine walishasema hivo, wao ndio wakafa kabla mapema kuliko muda waioutabili chadema kufa..utakufa wewe kwanza na chadema itafuatia
 
Tundu Lisu aonyeshe ukomavu na uvumilivu ili kumaliza changamoto za aina hii kama alivyokuwa mtanguizi wake.
Kama kuna wana Chadema wana hoja wasibezwe, wasikilizwe ili chama kiende mbele.
 
Sultan Mbowe katulia pembeni anawatuma watwana wake ili kuhalalaisha zile 12b alizopewa na mama Abdul
 
Kampeni za kujazana chuki na kwenda kwenye media kuongeleana bila staha zimeleta mpasuko ndani ya chama, maamuzi ya 56% ya baraza kuu yanaweza kuwa halali, ila siyo jambo la kujivunia.

Jitihada kubwa baada ya uchaguzi zingeenda kwenye kukiunganisha tena chama na wagombea wote kukaa mezani, kuombana msamaha na kutoa maazimio ya pamoja ili kuvunja makundi. Ila Ego na mamluki wa kila upande wamewatia upofu viongozi wetu.

Ukirudi kwenye historia utaona "Ego ndiyo downfall ya wanasiasa wengi duniani", ni wakati wa kuweka hisia pembeni na kujitafakari.
 
Chadema imeanza rasmi safari ya kujifia kama ilivyokua TLP na CUF. Ni suala la muda tu. Huenda hata uchaguzi mkuu wasishiriki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee Mbowe alaaniwe aisee ,kungania madaraka imesababisha hiki chama kuonekana ni cha ovyo san
 
Wewe mgombea wako wa urais 2025 alichukua fomu wapi ? Kwa nini apitishwe bila kufuata utaratibu?
Uko busy kufuatilia mambo ya chadema wakati ndani kwako ccm kunawaka moto!!!
Mwehu vuyo. Achana naye atakuumiza kichwa mkuu.
 
dah,
very matured comment of the day,
naona u-miongoni mwa Political Science graduates wenye gpa za4.5 kabisa.
well done Mshangazi dot com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…