Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Siasa tupu hana jipya kwangu sionagi tofauti ya ccm na chadema wote wana majibu yale yale kuna uhaba wa mtendaji genius sio kama hao waliopo.
Uko sahihiKatibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama
"Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya mwanachama wa CHADEMA anatuhuma dhidi ya yeyote aziwasilishe ili zishughulikiwa kwa mujibu wa Katiba, Itifaki na maandili ya Chama na sikutoa tuhuma za jumla jumla"
View attachment 3177933
Pia, Soma:
• CHADEMA hali inazidi kuwa tete. John Mrema asema kama kuna ushahidi wa tuhuma za Rushwa uwasilishwe haraka kwaajili ya hatua za kinidhamu
Hataki tuhuma za jumla jumla, lkn yeye anatoa majibu ya jumla jumla.Siasa tupu hana jipya kwangu sionagi tofauti ya ccm na chadema wote wana majibu yale yale kuna uhaba wa mtendaji genius sio kama hao waliopo.
Sintofahamu ipi imeletwa kwenye hotuba ya lissu labda wenye ubongo mdogo ndo wanaona Kuna sintofahamu.Hataki tuhuma za jumla jumla, lkn yeye anatoa majibu ya jumla jumla.
Nilitegemea kwa nafasi yake kama katibu mkuu ajibu hoja baada hoja ktk hotuba ya Lisu iliyoleta sintofahamu miongoni mwa wanachama.
Hana content kabisa tayari unaona iko upande gani katika siasa kwa viongozi kama hao hi Tanzania bado sana, hatuna mbadala wa dhati wa CCM.Hataki tuhuma za jumla jumla, lkn yeye anatoa majibu ya jumla jumla.
Nilitegemea kwa nafasi yake kama katibu mkuu ajibu hoja baada hoja ktk hotuba ya Lisu iliyoleta sintofahamu miongoni mwa wanachama.
Nenda Kwa bwana lako chato na elitwege/etwege.Lissu hajui haha matakwa ya katiba halafu ndio aongoze chama na nchi?
Chato ya konyoNenda Kwa bwana lako chato na elitwege/etwege.
1. Chama kinamtegemea mtu na marafiki wa mtu kutafuta fedha. Lisu anasema kuwe na mfumo pamoja marafiki wa chama wa kutafuta fedha za kuendeshwa shughuli za chama.Sintofahamu ipi imeletwa kwenye hotuba ya lissu labda wenye ubongo mdogo ndo wanaona Kuna sintofahamu.
Kweli kabisa. Ni kama alikuwa ana muwakilisha mtu fulani pale.Hana content kabisa tayari unaona iko upande gani katika siasa kwa viongozi kama hao hi Tanzania bado sana, hatuna mbadala wa dhati wa CCM.
Dada mbona una majinu ya shombo!!Nenda kwa mzoga wakoChato ya konyo
Yericko Nyerere Nyerere mwanachama mtiifu na kiongozi wa chadema amesema Mbowe ndiye mwenye hela, Mbowe ndiyo sponsor na Mbowe ndiye ana marafiki wanaotoa pesa. Mpk hapa ushajua akaunti inayopokea pesa ni ya nani.Mtu akisema pesa za Chadema zinaingia katika akaunti binafsi, unamjibu vipi kama hajataja ni akaunti ya nani inayopokelea pesa?
Chadema imeshindwa kutenganisha chama kama independent entity kutoka kwa personality chama sio mtu au kabila kinapashwa kiwe na mfumo wa kujiendesha bila kutegemea mtu yoyote awe maarufu au kiongozi..kwa hill CCM inawazidi mbali CCM uwe nani au nani huwezi kua juu ya chama malengo ya chama kupewa kipaombele hata uweke nani CCM wata sapoti huyu mtu ilimradi wanapata Utawal nguvu Mamlaka ya dola.1. Chama kinamtegemea mtu na marafiki wa mtu kutafuta fedha. Lisu anasema kuwe na mfumo pamoja marafiki wa chama wa kutafuta fedha za kuendeshwa shughuli za chama.
2. Kutokuwepo kwa ukomo wa nafasi ya mwenyekiti kulikozua na kukomaza uchawa ndani ya chadema . Lisu anasema ukomo uwekwe ili kuondoa uchawa.
3. Mashambulizi kuelekezwa kwa Lisu mara tu alipotangaza Nia yake ya kugombea uenyekiti.
Haya yalipaswa kuelezwa na katibu mkuu Mnyika. Inakuwaje yapo wakati hiki ni chama mbada wa ccm tulitege mea kiwe kisafi na kiendeshwe kwa misingi yote ya demokrasia??