John Mnyika ajibu tuhuma za Tundu Lissu kuhusu rushwa, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

Mnyika yuko sahihi Lisu mwehu amekuwa makamu mwenyekiti miaka kibao ina maana yeye ni sehemu ya uongozi wa juu wa chama ofisi kuu kitaifa ya mwenyekiti yeye kama makamu

Kama hakubaliani chochote na mwenyekiti kwa nini hakupekeka vikao husika vya Chadema akiwa na ushahidi hakikika ?

Mnyika yuko sahihi

Chadema wamtimue uanachama Lisu kwa utovu wa nidhamu

Yeye sio mkubwa kuliko chama

Chama ni taasisi aende zake huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…