John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua



Hahaha wewe jamaa mtu wa fursa Sana
Nashangaa haujabubujikwa na machozi mapokezi ya wajumbe wa mkutano mkuu dodoma

Unabubujikwa machozi na ishu za chadema
 
mkuu,pesa ni nyingi taarifa ni fupi na yamkato kabisa.haina nyama hata kidogo. taarifa ya namna hii ni ya kitapeli. kama ukimtuma mtoto dukan halafu anakuletea taarifa ya matumizi kwa mtindo huu.huwezi kurudia kumtuma tena.
Mkuu milioni 114 ina maelezo gani marefu? Ingekuwa ni bilioni 114 shaka yako ingekuwa na maana.
 
Mbowe ndio aliyeongoza zoezi la join the chain?
 
Inakuhusu nini wewe???
 
Mimi wenje Toka akiri kwamba ni rafiki yake Abdul simuamini kabisa, naamini jina lake tu.Pia naamini Yale maneno ya boni yai ni project ya mama abdul
 
LEMA na LISU ni wahaini wanapaswa wafukuzwe uanachama haraka sana.
 
Hatari zaidi ni kwamba, Lissu akishinda CCM italazimika kujifunza kuachana na mazoea na kukumbatia Machawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…