johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lucas ni tutusa fulani hiviHapo aliyekuwa anatuhumiwa ni Lema mfuasi wa Lissu. Kwa taarifa hii Mnyika kamsafisha Lema.
Hapo hajui aliyesafishwa ni Lema 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucas ni tutusa fulani hiviHapo aliyekuwa anatuhumiwa ni Lema mfuasi wa Lissu. Kwa taarifa hii Mnyika kamsafisha Lema.
Kwa hiyo Wenje kumbe ni muongo?
Ndugu zangu Watanzania,
Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya .
Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022.
Soma Pia: Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371.
Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu.
Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Mimi nawapeni habari mchanganyikoHahaha wewe jamaa mtu wa fursa Sana
Nashangaa haujabubujikwa na machozi mapokezi ya wajumbe wa mkutano mkuu dodoma
Unabubujikwa machozi na ishu za chadema
Acha uongo wako hapa wewemleta mada anaipenda sana chadema moyoni
Mkuu milioni 114 ina maelezo gani marefu? Ingekuwa ni bilioni 114 shaka yako ingekuwa na maana.mkuu,pesa ni nyingi taarifa ni fupi na yamkato kabisa.haina nyama hata kidogo. taarifa ya namna hii ni ya kitapeli. kama ukimtuma mtoto dukan halafu anakuletea taarifa ya matumizi kwa mtindo huu.huwezi kurudia kumtuma tena.
Mbowe ndio aliyeongoza zoezi la join the chain?Mchanganuo wanaujua wajumbe wa kamati kuu.hapo ametoa kwa ufupi kuonyesha uadilifu wa Mwamba ambaye aliongoza zoezi hilo. Ndio maana wajumbe wamejiandaa kumpigia kura za ndio Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Inakuhusu nini wewe???Ndugu zangu Watanzania,
Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya .
Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022.
Soma Pia: Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371.
Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu.
Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Tunataka uwazi.Inakuhusu nini wewe???
Unakiherehere na unatumika kama condom....watakuacha na uchafu ndani yako....acha uchawaaa na kujipendekezaTunataka uwazi.
Mimi wenje Toka akiri kwamba ni rafiki yake Abdul simuamini kabisa, naamini jina lake tu.Pia naamini Yale maneno ya boni yai ni project ya mama abdulNdugu zangu Watanzania,
Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya .
Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022.
Soma Pia: Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371.
Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu.
Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Acha ujingaUnakiherehere na unatumika kama condom....watakuacha na uchafu ndani yako....acha uchawaaa na kujipendekeza
Ccm haina cha kujifunza kutoka kwa mpinzani yeyote yuleHatari zaidi ni kwamba, Lissu akishinda CCM italazimika kujifunza kuachana na mazoea na kukumbatia Machawa
tangu lini watu wanaotoka kabila wasoenda jando wakawa na ubongo?Hii jibu kwa yule jaluo Wenje dalali wa Abdul aliyedai kuwa Lemma ndiye aliyechangisha hela hiyo na kuitumia kununulia apartment huko Canada na alisema hivyo akiujua ukweli kwa vile naye ni mjumbe wa CC.