Wewe ndio ukue sasa wanakutumia tuuuu....wakupe hata DC au Das umewasifu sanaa kwa mapambio eboooo punguza ujinga .....ujinga huwa saa kwenda tuuuu...ww mtu mzima sasaa.....Acha ujinga
Kubwa zima govinder linaning'inia.tangu lini watu wanaotoka kabila wasoenda jando wakawa na ubongo?
Big timeWenje kaumbuka
Kama una hasira sana kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa DunianiWewe ndio ukue sasa wanakutumia tuuuu....wakupe hata DC au Das umewasifu sanaa kwa mapambio eboooo punguza ujinga .....ujinga huwa saa kwenda tuuuu...ww mtu mzima sasaa.....
Sijabubujikwa hata kidogo.bali nimeona John Mnyika ni mzembe sana kwa kushindwa kutoa taarifa ya jambo hili takribani kwa miaka mitatu sasaHujabubujikwa na machozi?
Ahhahhahahaa punguza hasiraaaà upindeKama una hasira sana kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani
Wewe mwenye hasira ndiye ondoa hasira na ukishindwa basi kunywa sumu UFE tuAhhahhahahaa punguza hasiraaaà upinde
Mama ana kujaje kwenye taarifa kama hii. Kubwa jinga sana wewe mbululaaaazzzzzzz.Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Tena kapuku hilo litaja olewaKapuku ndiyo maana unajisogeza kwa wenye pesa ili kushibisha tumbo lako lenye utapiamlo.
Shika adabu yako wewe, kamchafua ndio nini hiyo?Wewe muda wote ni kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo na kutaja taja tu majina ya watu. Naona una wivu sana kwa mtoto wa Rais .unatamani RAIS Samia angekuwa ndio mama yako mzazi wa kukuzaa. Maana kila muda unamchafua tu japo watu wamekupuuza kwa sababu wanajua hunaga akili
Jinga tu wewe.Tena kapuku hilo litaja olewa
Ondoa ujinga wako hapa wewe usiye na akili.Shika adabu yako wewe, kamchafua ndio nini hiyo?
Asha ngedere wewe.Jinga tu wewe.
Uwazi wakati CCM mnachapisha form moja ya wagombea?Tunataka uwazi.
Kwamba maneno ya Wenje yenye baraka za Mbowe ni ya uwongo. Lucas sasa naona umeanza kuijua kweli. Hongera.Mchanganuo wanaujua wajumbe wa kamati kuu.hapo ametoa kwa ufupi kuonyesha uadilifu wa Mwamba ambaye aliongoza zoezi hilo. Ndio maana wajumbe wamejiandaa kumpigia kura za ndio Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Tuna imani na Rais Samia na tunaweza kubadilisha hata katiba ili atawale mpaka achoke Mwenyewe.Uwazi wakati CCM mnachapisha form moja ya wagombea?
Anzeni na uwazi na uwanja wa fikra tofauti ndio uzungumzie uwazi.
Kama Mbowe siyo dalali wa mama Abdul kwa nini wajinga wengi wa CCM mnampigia debe Mbowe?Mchanganuo wanaujua wajumbe wa kamati kuu.hapo ametoa kwa ufupi kuonyesha uadilifu wa Mwamba ambaye aliongoza zoezi hilo. Ndio maana wajumbe wamejiandaa kumpigia kura za ndio Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Ukitaka taarifa zaidi fika ofisi ya Katibu mkuu.hakuna taarifa ya kutolewa mtandaoni wewemkuu,pesa ni nyingi taarifa ni fupi na yamkato kabisa.haina nyama hata kidogo. taarifa ya namna hii ni ya kitapeli. kama ukimtuma mtoto dukan halafu anakuletea taarifa ya matumizi kwa mtindo huu.huwezi kurudia kumtuma tena.