John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua

John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua

Wewe ndio ukue sasa wanakutumia tuuuu....wakupe hata DC au Das umewasifu sanaa kwa mapambio eboooo punguza ujinga .....ujinga huwa saa kwenda tuuuu...ww mtu mzima sasaa.....
Kama una hasira sana kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani
 
Wewe muda wote ni kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo na kutaja taja tu majina ya watu. Naona una wivu sana kwa mtoto wa Rais .unatamani RAIS Samia angekuwa ndio mama yako mzazi wa kukuzaa. Maana kila muda unamchafua tu japo watu wamekupuuza kwa sababu wanajua hunaga akili
Shika adabu yako wewe, kamchafua ndio nini hiyo?
 
Mchanganuo wanaujua wajumbe wa kamati kuu.hapo ametoa kwa ufupi kuonyesha uadilifu wa Mwamba ambaye aliongoza zoezi hilo. Ndio maana wajumbe wamejiandaa kumpigia kura za ndio Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Kwamba maneno ya Wenje yenye baraka za Mbowe ni ya uwongo. Lucas sasa naona umeanza kuijua kweli. Hongera.
 
Uwazi wakati CCM mnachapisha form moja ya wagombea?

Anzeni na uwazi na uwanja wa fikra tofauti ndio uzungumzie uwazi.
Tuna imani na Rais Samia na tunaweza kubadilisha hata katiba ili atawale mpaka achoke Mwenyewe.
 
Mchanganuo wanaujua wajumbe wa kamati kuu.hapo ametoa kwa ufupi kuonyesha uadilifu wa Mwamba ambaye aliongoza zoezi hilo. Ndio maana wajumbe wamejiandaa kumpigia kura za ndio Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Kama Mbowe siyo dalali wa mama Abdul kwa nini wajinga wengi wa CCM mnampigia debe Mbowe?
 
mkuu,pesa ni nyingi taarifa ni fupi na yamkato kabisa.haina nyama hata kidogo. taarifa ya namna hii ni ya kitapeli. kama ukimtuma mtoto dukan halafu anakuletea taarifa ya matumizi kwa mtindo huu.huwezi kurudia kumtuma tena.
Ukitaka taarifa zaidi fika ofisi ya Katibu mkuu.hakuna taarifa ya kutolewa mtandaoni wewe
 
Back
Top Bottom