John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

Ahahahahaha! Kwahiyo kuwavumilia hata wachafu kupo sio? Ahahahahaha!!!
 
Kuna uzi ushawahi kuwekwa humu kuhusu elimu ya Mnyika,... Huyu bwana shuleni alikua ni mashine hatari.
 
Acha shobo mtoto wa kiume utapakatwa uanzekulia
 
Utaendelea kuwalamba matako ccm ila uteuzi hupati. MsuKUMA mshamba sana wewe
 
Jitu lina roho mbaya sana hili lilimchomesha Kabendera. Ulipewa shs ngapi?
 
Ni wasssssssssenge sana hawa chawa wa ccm
 
Jinai inashugulikiwa na sirikali kk, chadema walishatoa malalamiko yao kuhusu hilo ilibaki kazi ya sirikali kuchukua hatua chadema unawaonea tu p.
 
Jinai inashugulikiwa na sirikali kk, chadema walishatoa malalamiko yao kuhusu hilo ilibaki kazi ya sirikali kuchukua hatua chadema unawaonea tu p.
Ndugu yangu othuman dan fodio , una uhakika Chadema walitoa taarifa ya jinai?, walilalamikia wapi?, jinai inaripotiwa wapi?.
Naomba nikuhakikishie Chadema hawakutoa taarifa yoyote kuhusu jinai hii popote!. Na hii sio mara ya kwanza kwa Chadema, hata hapa niliuliza Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

Taarifa zozote za jinai zinaripotiwa polisi!.
P
 
Mnyika ana 'background' nzuri ya elimu ya sekondari. Amesoma shule ambayo imetoa watu bora huko walipo whether serikalini au kwenye sekta binafsi. Na shule hii siyo nyingine ni MAUA SEMINARI (Moshi). Iko chini ya shirika la kimisionari. Mwanzoni ilikuwa chini ya wamisionari 'wazungu' (waanzilishi), lakini kwa vile kuna Watanzania wengi ambao wamajiunga, sasa hivi iko chini ya wazawa. Ukienda pale, mazingira tu ya shule yatakuonyesha ni aina gani ya elimu wanafunzi wanapata na elimu hiyo wanaendelea kuitumia popote walipo na watakapokuwa. Na kwa vile Mnyika naye ni member wa group la wanamaua, huko anasoma michango ya members mbalimbali na pengine inamsaidia kujifunza kubaki kama alivyo. Kwenye maisha usipoyumbishwa, ukibaki na msimamo the likelihood ni kuwa mtu wa mafanikio hata kama ni madogo kwa wakati huo ulipo.
 
Paskali ccm mambo vp

Mwaka ndiyo tunaumaliza

Ova
 
Mimi nalia na watu wenye akili kubwa sana (Mnyika,Lissu) kutotumika kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi.

Hivi Mh. Rais akiamua kumuita Mnyika na wakawa na mazungumzo ya ana kwa ana kwa kirefu juu ya mustakabali wa Tanzania njema, atapungukiwa na nini zaidi ya kupata namna ya kuipigisha hatua mbele nchi yetu pendwa!!??

Mimi naamini katika kumpa mtu nafasi ya kumsikiliza kisha mimi kwa kuwa ndiye mwenye uamuzi wa mwisho,nitaamua kuchukua na kufanyia kazi maneno yake ama laa,maana silazimishwi kufuata ushauri wa yeyote yule.

Kuna faida kubwa katika kusikiliza mitazamo ya watu tofauti hata wale wasio upande wetu.

Ni dhambi kutotumia "fully" vipawa, akili, werevu, busara na uwezo wa wananchi wetu, lakini ni ni dhambi kubwa na laana kubwa sana kutowapa hata nafasi ya kuwasikiliza hoja zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…