#COVID19 John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

Kumbe kelele zote ilikuwa kuja kuzungumza huu utopolo!
 
Halafu watanzania tungekuwa tunajielewa hili swala halikutakiwa kuisha kimyakimya kama hivi. Haiwezekani hela zetu zinatumiwa kibwege halafu tupo kimya tu. Yaani nchi ina wasomi lukuki halafu tunakubali ndege iliyonunuliwa kwa kodi ya umma inachoma mafuta kufuata dawa ya kienyeji ambayo haijathibitishwa na taasisi yoyote ya kitabibu.

Hii kitu haikutakiwa kuisha kimya kimya. Ilitakiwa watu wawajibishwe. Unachezeaje hela ya umma kijinga hivi halafu unaachwa tu. Hili swala halikubaliki hata kidogo.
 
Wewe unajua chupi tu unazovua hapo Ufipa!
Wewe ni kubwa j. Utasemaje ndege ya serikali haina gharama. Inaendeshwa kwa mkojo wa bibi yako? Hao walioondoka nayo walikuwa wanakula tembele la shangazi yako? Walilala kwenye hotel ya ungo wa babu yako na walilipwa per diem maembe ya mjomba wako? Hovyo sana wewe babu.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hahahaaaa...... hiyo uliyotaja ni sawa na posho ya miezi mitatu tu ya mbunge wa Chadema Halima James Mdee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…