#COVID19 John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

Hivi una umri gani wewe mtu? Una kazi inayokuingizia kipato tofauti na hii ya kusifia mtandaoni?
Wanalipwa hao kwa kazi hii,zamani iikua buku Jero ila tangu polepole aingie madarakani nasikia siku hizi wanalipwa 2500 kwa siku ukiitetea ccm.
 
Hizo picha hapo juu zinaeleza mengi.

Kumbe 'Jiwe' alikwenda raundi mbili au zaidi kupata kikombe?
 
Ndege ya serikali haina gharama bwashee!
Ninachojiuliza inakuwaje tumeweza kukataa chanjo kwakuwa hatujajiridhisha nayo halafu tulienda kuchukua juisi madagaska wakati nayo hatujajiridhisha nayo?
 
Ndege ya serikali haina gharama bwashee!
Ninachojiuliza inakuwaje tumeweza kukataa chanjo kwakuwa hatujajiridhisha nayo halafu tulienda kuchukua juisi madagaska wakati nayo hatujajiridhisha nayo?
Ukweli lazima usemwe zile juisi ziko wapi?
 
Hiyo ndege imechoma 1355.177 litres za mafuta kwa sasa moja sasa hebu piga hesabu Dar to Antananarivo kwenda na kurudi na mzigo wa carton 12 pamoja na posho za Kubudi
Hizo gharama zote kabla ya kuja kubainika kuwa huo mzigo hauna tofauti na juisi ya Ukwaju
Sisi kama Taifa Hatujawahi kupata uongozi uliojaa ubinafsi kama Awamu hii ya tano

Maprofessa wanachoma fedha za Walipakodi kwenda kuleta boksi 12 za juisi ya Ukwaju ni Aibu ya karne.
 
Serikali ilipaswa itupe wananchi wake majibu ya hiyo dawa kwa sababu Kuna pesa imetumika. Pia Ni nzuri au laa
Mrejesho si ule wa Mbunge wetu mpendwa Ndassa alikutwa kakumbatia sakafu
 
Mpori jibu lipi anataka sasa ukiona kimya hadi sasa jua hio ni sawa na kujifukiza, Ingekuwa dawa madagascar kusikuwepo vifo vya corona
 
True uliona wapi awamu zote mtawala anaishi ikulu tatu kwa pamoja kwa gharama za kodi zetu, halafu ndo akamwambie atatoka huyu.Ubinafsi wa hali ya juu na matumizi mabaya ya kodi zetu.Ufisadi sio kuiba tu pesa zetu ikiwemo na matumizi mabaya ya Kodi zetu.Yanapokuja masuala yagusuyo walipa kodi kubana matumizi kunazingatiwa yajapo yao kubana hakuzingatiwi
 
Amekushika usikotarajia.Amesema hivi ile savanna wine (ndege iliyonunuliwa kwa kodi za wananchi,wafanyakazi wa ndege hiyo walilipwa na kodi ya Mtanzania,mafuta ya ndege yalilipwa kwa kodi ya Mtanzania,mwongoza ndege hiyo kodi ya Mtz.,Air port charges Madagasca fedha ya kigeni kodi ya Mtz.Wine hiyo,kodi ya Mtz. )iliyo tumwa Madagascar .Wine hiyo Imefika Tanzania kina......................wakaipiga kwanza kila mmoja chupa yake tena hadharani wakidemo.Sasa ndege ilijaa mabox ya kutosha,yakashushwa idadi kubwa,yalikwenda wapi? Au waliendelea na wanaendelea kuyapiga mdogomdogo mpaka leo?

Jibuni maswali haya yanaulizwa kila siku na wananchi.Badala yake anayeuliza,katumwa na mabeberu.Acheni kusingizia mbuzi beberu.jibuni hoja za walipa kodi,kodi zao au zetu mlipeleka wapi. Tafadhali,takukuru kama Temeke uchunguzi jibu lipatikane mapema awajibishwe aliyechezea kodi za Wtz.
 
This is the most corrupt government ever in the history of this country and when people will realize this, it will already be too late.

One person has turned the country into a private plantation where he can dismiss all the employees and declare it bankrupt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…