Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Unamshangaa msukuma mwenzako?Ila kweli tuna mambo ya ajabu sana. Hivi inakuwaje unatumia hela ya umma kufuata dawa ya kienyeji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamshangaa msukuma mwenzako?Ila kweli tuna mambo ya ajabu sana. Hivi inakuwaje unatumia hela ya umma kufuata dawa ya kienyeji?
Wanalipwa hao kwa kazi hii,zamani iikua buku Jero ila tangu polepole aingie madarakani nasikia siku hizi wanalipwa 2500 kwa siku ukiitetea ccm.Hivi una umri gani wewe mtu? Una kazi inayokuingizia kipato tofauti na hii ya kusifia mtandaoni?
Kwanini mmetumia ndege ya serikali kwenda kubeba togwa Madagascar?Hoja gani?!
Kwanini mmechoma mafuta ya bombardier kwenda kuleta togwa?Kwa hiyo Mnyika akitisha vyombo vya habari kwa ajili ya hilo tu?
Ninachojiuliza inakuwaje tumeweza kukataa chanjo kwakuwa hatujajiridhisha nayo halafu tulienda kuchukua juisi madagaska wakati nayo hatujajiridhisha nayo?Ndege ya serikali haina gharama bwashee!
Ninachojiuliza inakuwaje tumeweza kukataa chanjo kwakuwa hatujajiridhisha nayo halafu tulienda kuchukua juisi madagaska wakati nayo hatujajiridhisha nayo?Ndege ya serikali haina gharama bwashee!
Ukweli lazima usemwe zile juisi ziko wapi?Mnyika wa 2005-10 alikuwa anaongea point hatari mpaka ccm tulimpigia kura. Huyu mnyika wa 2015-21 sijui ni baada kuwa karibu na kina lema, msigwa kumemfanya awe hivi? Wakati wa dk slaa huwezi kusikia press za hovyo namna hii yan hapo ndio kamaliza [emoji23]
Viongozi wa CCM wanakunywa uchafu mwingi wakidhani ni kinga, chanjo na tiba ya magonjwa MBALIMBALI, hata kabla ya korona
Heri wangefuata vumbi la Congo lingesaidia kulinda ndoa za vijana wetu.Ila kweli tuna mambo ya ajabu sana. Hivi inakuwaje unatumia hela ya umma kufuata dawa ya kienyeji?
Kweni umekuwa ungo wa wachawi?Ndege ya serikali haina gharama bwashee!
Mrejesho si ule wa Mbunge wetu mpendwa Ndassa alikutwa kakumbatia sakafuSerikali ilipaswa itupe wananchi wake majibu ya hiyo dawa kwa sababu Kuna pesa imetumika. Pia Ni nzuri au laa
Nani wakuwawajibisha?Ni lazima wahusika wawajibike
True uliona wapi awamu zote mtawala anaishi ikulu tatu kwa pamoja kwa gharama za kodi zetu, halafu ndo akamwambie atatoka huyu.Ubinafsi wa hali ya juu na matumizi mabaya ya kodi zetu.Ufisadi sio kuiba tu pesa zetu ikiwemo na matumizi mabaya ya Kodi zetu.Yanapokuja masuala yagusuyo walipa kodi kubana matumizi kunazingatiwa yajapo yao kubana hakuzingatiwiHiyo ndege imechoma 1355.177 litres za mafuta kwa sasa moja sasa hebu piga hesabu Dar to Antananarivo kwenda na kurudi na mzigo wa carton 12 pamoja na posho za Kubudi
Hizo gharama zote kabla ya kuja kubainika kuwa huo mzigo hauna tofauti na juisi ya Ukwaju
Sisi kama Taifa Hatujawahi kupata uongozi uliojaa ubinafsi kama Awamu hii ya tano
Maprofessa wanachoma fedha za Walipakodi kwenda kuleta boksi 12 za juisi ya Ukwaju ni Aibu ya karne.
Amekushika usikotarajia.Amesema hivi ile savanna wine (ndege iliyonunuliwa kwa kodi za wananchi,wafanyakazi wa ndege hiyo walilipwa na kodi ya Mtanzania,mafuta ya ndege yalilipwa kwa kodi ya Mtanzania,mwongoza ndege hiyo kodi ya Mtz.,Air port charges Madagasca fedha ya kigeni kodi ya Mtz.Wine hiyo,kodi ya Mtz. )iliyo tumwa Madagascar .Wine hiyo Imefika Tanzania kina......................wakaipiga kwanza kila mmoja chupa yake tena hadharani wakidemo.Sasa ndege ilijaa mabox ya kutosha,yakashushwa idadi kubwa,yalikwenda wapi? Au waliendelea na wanaendelea kuyapiga mdogomdogo mpaka leo?Mnyika wa 2005-10 alikuwa anaongea point hatari mpaka ccm tulimpigia kura. Huyu mnyika wa 2015-21 sijui ni baada kuwa karibu na kina lema, msigwa kumemfanya awe hivi? Wakati wa dk slaa huwezi kusikia press za hovyo namna hii yan hapo ndio kamaliza [emoji23]
mbona umechelewa ?Suti ya mbele hapa nangoja comments
"Ufisadi umehamia ikulu". Alisema TAL. Dhambi haifutiki hadi ilipwe. Watakuja lipa tu.Unajua hawa watu tukiwachekea wataleta umasikini zaidi ya huu tulionao