#COVID19 John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

Inasikitisha sana !
 
Mimi nadhani ni vyema zaidi kudai uchunguzi wa dawa hizi ndio uwekwe hadharani: COVIDOL, BINGWA, NIMRCAF, PLANET++, COVOTANZA na BUPIJI

Hizo dawa ndio Serikali inazipigia chapuo kwa nguvu sana wakati hatujui kama kuna potential negative health effects huko mbele ya safari kwa watumiaji maana dosi yake hata haipo clear (unywe mpaka vichupa vingapi viishe kwa interval ipi mpaka lini)

Hiyo ya Madagascar imeshajifia automatically..
 
Watu wameokotwa kuzimu unategemea kuwe na tija, wa kuhojiwa ndye anaeongoza hilo genge la vichaa
 
Kabudi ana siri nyingi sana ! akikamatwa wiki hii KAMA TUNAVYOTARAJIA tunaamini kuna mengi yatafumuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…